Bien - Inauma (Lyrics)

preview_player
Показать описание
Bien - Inauma (Lyrics)

Lyrics:

Kukosana na wewe sikutarajia
Kuwa mbali na wewe aki imeniacha pabaya
Kutengana na wewe imenibadilisha sana
Nimetamani nilewe aki nakunywa nasazama
Ntaambia nini watu Regina haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tulipeana majina leo bebi kesho tomato mitandao ikaleta fitina
Ukawa huambiliki na mimi kichwa changu kikavimba nikawa sisemezeki

Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa

Densi ooh densi
Densi tulikamata hadi usiku wa manane
Kesi ooh kesi
Kesi tukakubali tutapendana milele
Nyimbo ooh nyimbo
Nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe
Kamisi ooh kamisi
Kamisi na biker uliwacha nanusanga ndio nilale oo yoyo
Tutaambia nini watu Regina haya mapenzi yalinoga
nakumbuka tukila bata na beer
Parte after parte, shetani gani alituingilia
Akatuweka hasana hilo vitopa limenifikisha
I’ll never love another night

Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa
Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa

Tags:
Bien, inauma, bien inauma, bien inauma lyrics, bien inauma, inauma lyrics, inauma by bien, inauma by bien lyrics, bien sauti sol,

#bien #inauma #lyrics #sautisol
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hello, if you're a true fan of Fine Lyrics, You can now support it on PayPal at:

FINELYRICSrme
Автор

He's not pregnant but delivers everytime 🥺🇰🇪❣️likes zikuje thru ✨✨

julietkiarie
Автор

Kitambo Nilidhani hii ngoma ni ya kuchangamsha walevi kwa clubu 😂😂😂Kumbe I was to cry to it's lyrics, 😭😭nitaambia nini watu

cutiemeryamm
Автор

Watu wa AZMIO, inauma lakini mtazoea tu. Watu wa UDA congratulations. Tusibleed. Life goes on

eunicemunubi
Автор

My favourite artist in Kenya kazi nzuri Bien

carohalex
Автор

Thank u sasa naweza karaoke roho safi

ABa-tkwm
Автор

Wow his voice is just ethereal. Pure kenyan music👌👌👌👌👌

maureenwambaa
Автор

There is sauti sol and there is Bien 🔥🔥🔥the song is gem Bien...keep it burning 🔥🔥🔥🔥❤️💜

glorianduta
Автор

That one person i will listen to anytime of the day, month, year, theres just something fabulous about his music ❣

mercychepkorir
Автор

I love you so much bien unanifanya ntaprosper na my talent

maryclara
Автор

Pamoja bro big up to sana ngoma kali.... fanya ovo 7isalnd watamu

jeremiahngosia
Автор

Aki Bien, the message is damn clear at 1st sikuwa naelewa, now i have been listening to this song countless times wow!

carolinechimano
Автор

Am here because of my president Raila Amollo Odinga

degypsyking_
Автор

This song goes deeper than I thought....thank you so much ...you can actually feel it

kat_claud
Автор

You are really talented bro, may God continue lifting you up 🔥🔥

leonardkiprotich
Автор

Been just seeing this songs challenge on tiktok but I didn't know it goes this deep😬😬inauma lakini nitazoea❤️🙂thank you Bien🥺

missmaina
Автор

Every time i listen to this song it makes me ti shed tears😭😭 5 years down the line, , , inauma inauna lakini nitazoea hali ya binadamu ni kuzoea

puritykemboi
Автор

Best kenyan song yet🔥🔥🔥.. Bien is awesome

tituskaranja
Автор

Every time I listen to this song it makes me shed tears 7yrs down the line Inauma na zijazoea

marylynnemaina
Автор

📩Contact for submissions, business inquiries, copyright issues, etc...

FINELYRICSrme