BWANA yuko tayari KUKUFUNGUA!

preview_player
Показать описание
"Maana ametazama toka patakatifu pake pa juu, Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi, Ili akusikie kuugua kwake aliyefungwa, Na kuwafungua walioandikiwa kufa." Zaburi 102:19-20

Popote penye kufunguliwa pana kufungwa! Maana tunafunga pale palipofunguliwa na kufungua palipo fungwa! Lolote ambalo Adui amelifunga katika maisha yako Bwana yupo tayari kukufungua!

Share Your Testimony through WhatsApp Video on +255 673 117 117

#chief_prophet_suguye

#kuvunja_misingi_mibovu_ya_vizazi

#wrmtv

#startimes_119

#Azam_decoder_other_channel_007

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ameeen baba yang wa kiroho naitwa Judith msak ni mtoto wako wa kiroho tangu mwaka 2016 nlkuwa MTU wa chin sana lakin nimemuona mungu akiendelea kunifungua nasikia saut na nadhir ya mungu ikinitaka ifikapo mwez wa NNE mwakan nitoe million NNE kama sadaka ya shukran ndan ya madhabahu iliyo hai sijui nitapata WAP ila mungu amesema atafanya kitu napokeaa kwa mikono miwil mim pamoja na mume wangu Francis philipo japo haamin ila naamin atajua t mungu ninaemwabudu katika roho na kwel

francislaitonphilipo
Автор

Napokea mafanikiyo ya Tanzania kuptia Madhabahu ya WRM kwa jina la Bwana Yesu

victoriaaman
Автор

Mungu was prophet suguye unifungulie katilaaisha yangu na watoto wangu na familia uetu ameen

evalinemukenya
Автор

Mungu akubariki prophète nicolaus suguye maombi Yako inaendelea kutufungua hapa Kinshasa

honorekongolo
Автор

Mungu wa prophet suguye leo njoo unifungulie katika maisha yangu niwe hulu

tonyamusic
Автор

Naomba Mungu pokea mahitaji ya family yangu.

yukundapeter
Автор

Mungu akubariki na barikiwa sana na mafundisho yako naomba u nifungue na mimi

nelliekawishe
Автор

Amen Mtumishi Mungu akupganie kila siku

victoriaaman
Автор

Hofu ni mzigo hofu ni mtego nakataa hofu kwenye maisha ktk jina LA yesu amen.

neemayona
Автор

Fire fire fire in the name of Jesus Christ

sabinaboas
Автор

Ee e mungu nisaidie kpitia madhabau hii

barakahamis
Автор

Asanteni kwa kutoa huduma nzenu nzuri mungu awabariki

damianraymond
Автор

Nabii Mimi naitwa bahati Niko mtwara wilayani newala ninashida kwanza najiona Niko tofauti nanilivyokawa mwanzo Nuru yangu imefifia hicho kinanisumbua saaana pili Kuna mwanaume nampenda na ameniahidi kunioa Ila anaweza kukatisha mawasiliano bila sababu nataka anipende anithamini aniowe mnabii nisaidie

bintadinani
Автор

Ameni .naungamanisha na madhabuhii ktk jina la yesu

chihiyomrema
Автор

I take it I believe it and I receive in the Mighty name of JESUS CHRIST- Amen

brightmollel
Автор

Ameen. Mungu wa Suguye njoo nifungue jaman Usik huu

dyanatanz
Автор

Nimefunguliwa ktk udhaifu wangu ktk jina la Yesu

sabinaboas