Walter Chilambo feat. Jux - Success (Official Video)

preview_player
Показать описание
Walter Chilambo feat. @africanboyJUX - Success
Track No. 4 On the Album I'm Blessed EP

Audio Production By: Love Music Brand
Booking & Enquires
Contact: +255718069509
#ImBlessedEp

Watch the latest music by Walter Chilambo:

Follow Walter Chilambo

Video Directed By AIC and XNIPER CG
Audio Produced by FOXX MADE IT
Mix & Mastering by SHASKA
Script Writer by Apollo & Director Aic
Costume by Loveness & Suti Bega
Props by Depo Mtei

Production by LMB FILMS (Love Music Brand)

VERSE 1 JUX

Kuna Muda machozi hayaniishi
Huzuni haikatiki
Hata ninapojaribu kutembea
Naona sifiki
Maumivu na Changamoto
Havikwepeki
Imani yangu najua
Wakati wangu upo

Kama walipata wengine
Nami nitapata pengine
Sikati tamaa
Napambana (uuueeehh)
Wacha leo wanicheke nikitafuta sipati
Na hata mimi nichelewe ila hapa sitabakia

BRIDGE
I need success in my life
Mungu anibless in my life
Mmmhh More bless in my life
Viwango vingine

I need success in my life
Baba unibless in my life
More blessings Testimony

CHORUS
Eeh eeeh eehh eeyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
LAZIMA NIFANIKIWE

Eeh eeeh eehh eeyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
LAZIMA NIFANIKIWE
.
VERSE 2 WALTER

Sijazaliwa ili nishindwe
Hata nikipanda mlima lazima
Mi nifike (kileleni)
Sijaumbwa ili niteseke
Nitapambana vita mimi shujaa
Lazima nishinde
Baraka zangu nitangojea
Kama ni kuchekwa nimezoea
Mungu wangu namuamini
Bado sichoki bado sichoki

Kama walipata wengine
Nami nitapata pengine
Sikati tamaa
Napambana

BRIDGE
I need success in my life
Mungu anibless in my life
Mmmhh More bless in my life
Viwango vingine

I need success in my life
Papa God oh Bless my life
More bless Testimony

CHORUS
Eeh eeeh eehh eeyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
LAZIMA NIFANIKIWE

Eeh eeeh eehh eeyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
LAZIMA NIFANIKIWE
.
.
AUTRO
Uuuuuuhhhh aaahhh aahh mmhhh
.
.
Walter Chilambo & Jux
.
#Success #ImBlessedEp #Walter #Jux
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama umesoma my comment lazima utafanikiwa🎉❤

samuelkariri
Автор

From Kenya nipeeni likes another banger from another level

siddybwoymachax
Автор

Jux fund xana hii nyimbo kaitendea haki xana utadhani ya jux safi sana broo jux sio mbinafsi❤

Mnyongo
Автор

Nawatakia mafanikio kila mmoja Mungu mkubwa siku zote, Wote tuseme Amein

twentyacresfarms
Автор

Jux Jux Jux nimeita mara tatu una kitu aiseee umeuaaa kama ni muimba gospel vile Big up brother na ww siku moja Mungu akukumbuke akutoe huko kwenye ubongo wa forevaaa 😂❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

bellasfoundation
Автор

Huu wimbo Umenifanya Nilie mungu yupo nasi wapamba naji 😭😭🙏

rashidmussa
Автор

Naminitapata pengne dah huu wimbo kaka jux na kaka water chilambo umenigusa sana katka maisha yang ninayo pitia na huu wimbo unanifarji sana mung awabarki mpaka mushangae🙏🙏

barnaba
Автор

Kwa niaba ya wapambanaji (Hustlers).. This is song is:;100% message
100% motivation
100% video
Likes zikuje za kishua ...🔥🔥

salimhatua
Автор

Kaz kubwa sana inapendeza sana kututia nguvu sisi ambao tunao asoh

ChrisMitindo-ge
Автор

Am from Kenya and I must confess I love Tanzanians ❤eish their vocals is something else 😫🥰you guys are really talented😘...if you feel the vibe in here nipewe like tukisonga❤🔥🔥ngoma kali 🔥 👏

sherrywanja
Автор

I'm encouraged.
Hata mimi nitafanikiwa.
Muziki wangu utaskizwa na wengi na utabariki wengi.

VincentChai
Автор

Nice video ❤❤❤ video na nyimbo vimeendana🔥🔥🔥 Asanteni kwa kututia moyo lazima tufanikiwe in Jesus Name 🙏🏻❤

mourinebey_kenya
Автор

Ngoma kubwa sana I wish one day niwe kama wew Walter nifanye kazi na wew tuisongeshe hii injili mbele Ubarikiwe sana mtushi.

Blessing
Автор

Wimbo na video vinaendana ngoma mmejua kuitendea kazi.🔥🔥🔥🙏

renathachengula
Автор

Unayama success ni goma la taifa 🔥🔥🔥🔥
Nimeona angle za muuh babaerr

SinemaZaChina
Автор

wow wow nilichokipenda humu ni vile ambavyo mmeonesha ubunifu yani mmejitahidi kuonyesha kila kinastahiri kwa anaejituma ili afanikiwe kama vilivyo wengine

mziziwabahariahmad
Автор

This music should be distributed to all those who are disappointed and broken hearted. This is not only a masterpiece it's totally a soul medicine and food to the brain 🧠

azaboicomedy
Автор

My favorite song for 2023! I'm glad that finally the official video is out! Huku 🇰🇪🇰🇪 tumeipenda.

humphreykagwi
Автор

Jux never disappoint, much support from Malawi 🇲🇼

❤❤

rashidstamburi
Автор

Waoooo nawapenda Jamani Ndo kitu nikikua ga na Subiri sasa moyo ume tulia WOTER chilambo nakupenda KAKA yangu

themicbandforeveryone