Stamina Ft Barnaba - Safina (Music)

preview_player
Показать описание
#Stamina #Barnaba #Safina #ROSTAM

©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ULISEMA TUZALIANE ILI TUIJAZE DUNIA SASA UGUMBA NA UTASA ULIWEKA WA NINI??? OG####

ommykhan
Автор

From + 254 Mombasa Stamina Ft Barnaba big message Jah Jah bless.Mpenzi bila pesa ni mpenzi mtazamaji.

cyprianoduor
Автор

Mziki ambao unaweza kusikiliza na Familia nzima hata wakija wakwe unawawekea tena unaongeza na Volume 😀😀😀

geofreykitundu
Автор

I really appreciate these two Bongo stars ROMA & BARNABA, Since long time i was wating for their collabo .Duh!!! Burudani Tosha kweli kweli

christiannkezabahizi
Автор

Rostam ndio the real GOATS yani mababa wa baba ngoma za kielimu tutakazo

davidwalalason
Автор

Mwanamke kuwa mwanaume wa mwanamke asie na mume, ni mwanaume tena wa kiume kuwa mwanamke wa mwanaume 😮😮😮 #Best 2019 Punchline 🤸‍♂️

DenyoReigns
Автор

mwanamke kuwa mwanaume, wa mwanamke asie na mume..(yaani mwanamke anaemsaga mwanamke mwenzie, ye si ndo anaehasibika mwanaume)..(ni mwanaume tena wa kiume, kuwa mwanamke tena wa mwanaume)..hapa katajwa shoga..kuwa ndie mwanamke wa mwanaume)..hii ndo maana halisi ya hip hop..ni password tu..

weapon
Автор

BIG UP
Stamina
Mungu akujaliye kwa kazi Nzuri ya kuikumbusha Dunia

Mwalimhemedi
Автор

How's this hit not a #1 trending? Bongo Music isn't fair

felixmoindi
Автор

Yaani nyinyi huwa hambahatishi ❤
From🇰🇪

hassanihanzel
Автор

Nyie jamaa mnaweza hadi mnakera. Big up

ernestseiya
Автор

Stamina ft Barnaba - Safina . Ngoma kali sana na chemistry nzuri sana. Nimesikiliza mara nyingi tu na idea ipo sawa sana na ni Maisha halisi ya sasaivi. Safi sana na GONGA LIKE HAPA

eliasmlundwa
Автор

stamina my role model hapaa kama uunaamini stamina ndio king wa ngumu bong na east africa

tengoboy
Автор

Ngoma kali xana walioikubali likes kwa wingi tujuane

acleyebanja
Автор

Bigup bro'' ngoma Kali kabisa
Mashahiri Kali nikama aukulala wakati ulikuwa naandika iyi ngoma''
Ujawai niangusha bro

supalubula
Автор

Kama umeelewa Auncle Magu kaimbiwa huu wimbo kwenye verse ya pili, gonga like

ezekielmdavid
Автор

Salute broo mliopita kwenye hii nyimbo

eliudytafawa
Автор

Deep
"...mwanamke kuwa mwanaume wa mwanamke asiye na mume ni mwanaume tena wa kiume kuwa mwanamke wa mume..."
😍

bwokemwa
Автор

Nawakubal.wana tunataka goma lapamoja ila hiz hit mil nimekubal mmekuja kimungu mungu mungu awe nanyi kama unamkubal loma au stamina sema

trybatinemahenge
Автор

Stamina underated rapper in Tz .. lyrics zimeenda group of schools much love and appreciation from malawi

jayjay-yckb