MAUTI YA KWANZA.(prt 1)BISHOP SAMUEL MBURU. (C.R.J CHURCH)KAYOLE.

preview_player
Показать описание
Ufunuo wa Yohana 20 11
Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye aketiye juu yake; ambaye nchi na mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana.

Ufunuo wa Yohana 20 12
Nikawaona wafu, wakubwa kwa wadogo, wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi; na vitabu vikafunguliwa; na kitabu kingine kikafunguliwa, ambacho ni cha uzima; na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yaliyoandikwa katika vile vitabu, sawasawa na matendo yao.

Ufunuo wa Yohana 20 13
Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake. Wakahukumiwa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.

Ufunuo wa Yohana 20 14
Mauti na Kuzimu zikatupwa katika lile ziwa la moto. Hii ndiyo mauti ya pili, yaani, hilo ziwa la moto.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ur blessing wth ur Sermon I learn about the word of God
Bravo ur powerful @Man of God ur preach very deep ad intrapreate mtu anaunderstand very well I glad for yuh 🙌👏👏🙏🙏🙏Morepower moregrace upon yuh @Bishop Samuel

lizzymwangi
Автор

Mchungaji endea familia yangu na watoto wangu, am watching from saundiarabia am blessing

faywaigui
Автор

Kijana wangu aliingilia bangi na nilimuacha kwa kanisa, naninamuombea mungu amfungue nimeokoka na niko na imani atafunguliwa

faywaigui
Автор

DEAR VIEWERS AM VERY GRATEFUL TODAY FOR THE LOVE AND IMMENSE SUPPORT YOU'VE SHOWED US SO FAR SINCE THE BEGINNING. MAY GOD BLESS ABUNDANTLY. PLEASE I HOPE YOU'LL CONTINUE SUPPORTING US YOUTUBE AND FACEBOOK BISHOP SAMUEL MBURU OFFICIAL. GOT THERE SUBSCRIBE, LIKE, SHARE AND DROP A COMMENT DOWN THERE. AGAIN THANK YOU ALL

bishopsamuelmburuofficial.
Автор

My mum wakati alikua anazikwa tulikua sister watatu tumezaa mum but hao watoto tumewaita mum walikua watoto wa miezi hawakutupea amani kwa mazizshi ni kilio mpaka wazee wanawapea washike mafi ya mbuzi bibi cia mburi

faywaigui
Автор

Nilichukua namba yenu lkn haifanyi kazi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

ezekieljackline