AHLUL-MADINA FT AQAZ DHANA MBAYA

preview_player
Показать описание
QASWIDA HII INAZUNGUMZIA UBAYA WA UMBEYA NA KUSAMBAZA MAMBO AMBAYO HAYAKUHUSU PIA INAKATAZA MAMBO MENGI AMBAYO HAYANA MAANA KATIKA ULIMWENGU HUU TULIONAO.

TEMBELEA SITE YETU KWA KUJIPATIA QASWIDA ZAID NA ZAIN MPYA ZA KISASA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

JazakAllah khairan, kitu kimepigwa hiki bhana dah!!!! Is there any one listening to this @2024 ? thumb up please

hilalingereza
Автор

Mashaallah haipiti siku bila ya kuingia YouTube kuitafuta hii qaswida 🙏🙏🙏❤️🙏🙏

sirajushaban
Автор

Allah awalipe kwakweli maan nazaha nzuri sn mashaallh 🥰

abdisalanmohamef
Автор

Napenda sana kaswida zenu najifunza sana nawaombea mungu awajaalie muzidi kutuletea mafunzo zaid na zaid❤❤❤❤

RaheemaOmani
Автор

Maashalaah kasda nzr sana mungu awajaalie mzid kutoa nzr zaid

azizajuma-lruk
Автор

Maa shaa Allah, nimeburudika Sana. Mashairi mazuri na sauti nzuri Sana ajemi imetulia mno. Ahsanteni sana

khadijamgange
Автор

Mashallah Allah awajaze khery nazipenda san.pia ni mafunzo

FrankMusa-zc
Автор

Maashallah ❤️ kaswida nzur ina ujumbe nzur

sofiakilimo
Автор

Mashaallah napenda sana Qaswida zako ostadhi Afidh

FaridaAbdallah-ytxr
Автор

Kaswida hizi ni nzuri mungu awalipa zaidi

SamiaBakari-borg
Автор

❤ Masha -Allah ❤nasaha nzuri ☝️ALLAH awalipe ujira 🤎 wenu uliokuwa mwema 🌷

Ughutyhamisikaswala
Автор

Mashaallah
Hamjawahi kukosea
Napendaga qaswida zenu kwakwel

husnaally
Автор

Nasheed nzuri sana allah awalipe inshallah

hemednassor
Автор

nzuri sana Allah awafanyie wepes muendelee kuelimisha nzuri San naipenda

zaharaomari
Автор

Mashallah!!! Nzuri ajab...endeleeni kutuelimisha tusijisahau...vizuri waislamu kukumbushana

charityneema
Автор

Naipenda sana kaswida hii mungu awalipe inshaallah

sammbaruk
Автор

Mungu awape hitaji la mioyo waim aji nyie mko vizur

matokeobenjamini
Автор

Masha"allah nzur cn naipenda mno hii qaswid

midyshaaban
Автор

Naipenda xn hii qaswid man binadam hatukumbuk mazur twakumbuk mabay jamn tuwe na hat aibu bc

MaajabuRamadhani
Автор

Jamani haki tunapata mafunzo makubwa kupitia kaswida zenu..natamani kuolewa na mzanzibar aliesoma dini na Ana hofu ya mungu wallahi

aishahussein