Sh. Hafidh New Qaswida - UBINADAMU (Official Audio 2022)

preview_player
Показать описание
Kwa wale wenye mapenzi na kazi zetu Tafadhali usiache ku Subscribe Like na Kutoa Maoni yenu katika sehemu ya comment .

Hii ndio YouTube rasmi ya Sh. Hafidh wa AhLul Madina
Tafadhali Share na Wengine
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Naipenda sana kaswid mungu akup kila la their

yussufsalim
Автор

Sheik hafidh hii umemaliza iko poa mashaallah ndio maana nilikupaga qaswida yangu ya harusi mwaka 2018 uko vyema kaka.

ismailjuma
Автор

Alhamdulilah nimesilim nikawa muislan naioenda San din yangu ya haki nimeelimika kupigia funzo la qaswida shkh hafidh

IshaYassin-mg
Автор

Hakika unajuwa sana kk Mungu akujaalie kila la kheri

ABDULLAHKHATIB-khfh
Автор

Wallah hii kaswiyda nimeisikiliza paka machoz yananitoka maan binadam tumebadilika tumekua wanyama

hadrandege
Автор

MashaAllah 🥰 umemamaliza Kila kitu.👌✌️

sanurakhamis
Автор

Mashallah Allah azid kukupa afya njema utunge kaswida nzur said ya hiz 🙏🙏🙏🙏

MwanaidiRashid-px
Автор

Hiii kasda nitaisikiliza kama national anthem maana ni nzuri

LailatSleyoum-exrb
Автор

Ubinadamu kazi sana, ujumbe umefika kaka kazi nzuri imeenda shule sikupingi shee #HAFIDH

suleimansaid
Автор

Maneno yakuhifadhiwa kwa wino wadhahabu, mazitto haya .Allah ajaalie yawafikie walengwa

AshaHamad-bwzr
Автор

Fundi wa ⚽️
Fundi wa 🎤🎤
Hakika unajuwa
🙏🙏💪💪

haidarahmada
Автор

Mashallah ❤️ very nice 🥰 waambie 😘wapone 🎈🤗💛🧡🌹🙏🤔

Nanahshubayra
Автор

Mashallah shekhe hafidh nakukubali sana kaswida safi sana 🥰🥰🥰🥰

habibalbadashi
Автор

Daah nimekubali umeitoa muda sahihi BINADAMU wataelewa tuu maana wamezidi mkoani ujumbe utawafikaa kwa qaswida kalii sana

saidmzee
Автор

Masha'Allah, nakukubali sana mrisho mpoto!

haidar
Автор

inapendeza sana kipaji mnacho jmn Mashallah nyote Ahlulimadina❤❤❤

MwanaishaYahaya
Автор

Mashaallah mashallah mungu azidi ukukupa umri na akuifadhi inshallah

saidmwakulika
Автор

sure! it sounds good with relevant content in our islands. mashallah sheikh hafidh

hamadmassoud
Автор

Mashaallah mungu akupe maisha marefu ❤❤

LatifaRamadhani-vt
Автор

Allah akujalie kila kheir kwa ukumbuxho unaotupatia

LutfiaAwadh-fzvc