App Mpya ya Azam TV

preview_player
Показать описание
Maelekezo ya jinsi ya ku-download na ku-install toleo jipya la Azam TV App.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yaan app ya zaman haionyesh chochote saiv nime download hii mpaka sasa nashindwa ata jins ya kuifungua

marthawingstone
Автор

App mpya haifai kabisa kwanza nilikuwa na download kwenye smart TV sasa hivi haikubali

hamoodhhamoodalsharji
Автор

Kwann ZBC 2 mmeitowa baada ya mda mfupi tuu kuiweka, tuomba mturudishie ZBC 2.

selemanisultan
Автор

Mbona haikubal kufanya register application ya azam inakataa

muhammadmuhammad
Автор

Jamani anae jua jinsi ya kudawornd app ya azamtv anisaidie

isaacmgimwa
Автор

Hii app mpya ukisha register inakurudisha tena kwenye register or log in.. na ukilog in haikubali.

trinnielove
Автор

Nawaomba mtuongezee chanel kama umna taka ela basi mtuambie mana tupo baazi ya watu ambao tuko tayalia ata kulipia kwa mwezi ila muzidi kubolesha

kidogotz
Автор

Nikiwa na shida na azam max app naomba vp nitapata customer care

rukiamohamed
Автор

Azam tv hongereni kwa kazi nzuri. Lakini ni kwann mnatuambia tufanye haya yote then mwisho wa siku siku za games muhimu mnatoa channels kama azam sports 2 au zbc2?? alaf mnakuja kurudisha later. ndo nn kuwa na app alaf unakosa kuwa updated na vinavyoendelea. wengine tuko mbali ndomana. naombeni ufafanuzi juu ya hili

festontumemmakasa
Автор

Yazamani ilikua bora kuliko ya sasa
Zbc2 hua wanaitoa bila kutoa maelezo yoyote

snkhannassoro
Автор

Nishaangaika mpka nimechoka maana kila nikijalibu kujisali inakataa

aminalilay
Автор

Hii App sio nzur
Mnakua mnatoa ZBC2, Mkijisikia mnarudisha bola yamwanzon ndo tutaendelea kutumia

azizshahame
Автор

azam tv nilikuwa nayo naitumia sasa sijaelewa hawa wapumbavu walivyoondoa ondoa mpaka sasa hivi wanataka nijiunge upya

atanasjoseph
Автор

Mi naanglia play store ili nidownld sion azam tv

pamelamkemangwa
Автор

App yenu ahijakaha vizuri yani uku logout uwezirudi login tena

ruhendaemile
Автор

Kikubwa ambao wanazo zazaman waendelee kutumia hzohzo wasi update

azizshahame
Автор

Jaman naomba unisaidie azam hawanitumii code kila nikijiunga hawanitumii sms

aliturky
Автор

App mbovu tena bovu sana ww umeona wapi mtu uki logout huwez log in shame on you Azam app 😎

africano.