Ee Bwana Unifadhili - Joseph Makoye [Kwaya ya Familia Takatifu Kanisa Kuu la Mt Yosefu - DSM]

preview_player
Показать описание
Ee Bwana Unifadhili ni utunzi wake Marehemu Joseph Makoye ukiwa ni moja kati ya tungo zake nyingi za Dini.
Nyimbo hii ina lengo la kutafakari fadhili na Ukuu wa Bwana kwa wanadamu.
Ee Bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa kwa maana wewe Bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakungojao.
wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Familia Takatifu Kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu (Saint Joseph's Cathedral) Jimbo kuu la Dar es Salaam na kurekodiwa (shooting) na JUGO MEDIA.
Wasiliana nasi kupitia namba za simu 0755 816669/0757560764
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tafadhali share na marafiki pia usisahau ku subscribe ili kpata nyimbo nyingine tutakazoweka

KFTStJoseph
Автор

❤ kazi nzuri sana nabarikiwa na nyimbo zenu, Mungu awabariki kwa majitoleo yenu

mariajustice
Автор

Hongereni sana, sauti ziko vizuri sana

philomenasjohn
Автор

Sichoki kuirudia kuitazama na kuisikiliaza...mmeitendea haki.👏👏👏

ceciliamhumba
Автор

Na mwingi wa fadhili Kwa watu wote wakuitao!👏👏👏 Pamoja na Familia Takatifu!

Fransicka

ceciliamhumba
Автор

Kazi ya Bwana itasimama daima,
Wapendwa tujifungeni suduri hima talanta tulizopewa tuzitumie ili ajapo Bwana tustahili tuzo!!

paschalmgassa
Автор

Safi sana, nyimbo nzuri sana na mmeimba vizuri sana

kelvindanford
Автор

Asante Wana Familia Takatifu.
👏👏👏👏👏👏
Hongera Kwa utume.

ceciliamhumba
Автор

Nzuri sana nimebarikiwa tubarikiwe sote

jenyyusuph
join shbcf.ru