FAIDA 8 ZA KUNYWA MAJI ASUBUHI KABLA UJALA CHOCHOTE.

preview_player
Показать описание
Kunywa maji asubui kuna faida nyingi sana katika mwili wetu japo kuwa watu wengi hawajui hili
Maji ya naumuhimu mkubwa sana kwenye mwili wetu hivyo ni vyema tukawa na tabia ya kunywa maji kila asubui tuamkapo kabla ya kula chochote kile.

Leo nitakupa faida 8 za kunywa maji asubui kabla ujala chochote.

Unaweza ukatufatilia kupitia mitandao ya kijamii

#majiniafya
#majiniuhai
#maji
#majiyazamzam
#majiyashingo
#majiyamchelekwanywele
#majiyauzima
#majiyamchelekwauso
#majiyasoda
#majiyadianalotion
#majiyakilimanjaro
#majiyadasani
#majikwenyekizazi
#majikutokaukeni
#majihusaidianinimwilini
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana bro ama kwenye maji yanafaida nyingi sana pia yanasaidia kwenye digestion 🤗

ejntv
Автор

Ahsante kila nikiamka nakunywa Lita moja nanusu kabla chai pia kwasiku nakunywa Lita 7 kulingana na mazingira yangu ninayo ishi ni nchi yenye joto Kali hivyo maji hunisaidia Sana nilihis pengine Kuna madhara

hawamafuru
Автор

Mimi nakunywa saana maji na ninakojoa sana ivi ipoje akuna shida

SelemaniMndai-oxdy
Автор

Mi nakunywa Sana maji Ila nakula Sana na sipendi hii Hali

lifeinmiddleeast
Автор

Je kunywa maji mengi kupita kiasi, hakuwezi kumaliza sugaring ikawa dailuted sana?

simonmollel
Автор

Maji yawe yauviguvuguau ya kawaida tu

SalamaMayombo-bbpx
Автор

Mbona wanatwambia maji mengi utanua moyo?

jackilinarwegasira
Автор

Sasa kama wasikia tumbo lawaka moto pia yaweza saidia kutuliza huo moto

AminaSaid-qt