Bwana Harusi Agoma Kuja Siku ya Ndoa kisa Binti hana Bikra, Ndugu Wamcharukia Wifi

preview_player
Показать описание
Follow us:
___________________________
_______
_______
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Siyo kiki hii? Pia mabinti mjifunze kujitunza. Ndo majanga ya zinaa kablaya kuoana.

myunaniniahmad
Автор

Asalmu aleikum warkmatullahi taala wabarakatuh.jaman mambo mengine niabu huyu kaka alikuwa nia yamukumwaibisha.muislam niyule anayemstiri muislam mwenzake.leo mwenzake kesho yeye asijimakini hakuna aliye safi kiumbe.

biashaqtr-xdmf
Автор

Huyo mwanaume nae bikra? 😅Maan usitake bikra wakt we had kwenye majumba mabovu umo

baimarrajahbuayan
Автор

Kama ndugu wa bibi harusi ndio wao midomo namna hiyo, huenda jamaa aliogopa hiyo midomo maana kuna nyumba hazifaagi kuoa

coolruler
Автор

Bikra zipo dada wewe ndo huna mimi nimeoa juzi nilimkuta ana bikra yake.

estonwell
Автор

We dada acha mbwembwe, mabikira wapo sema ni wachache !

emmanueljoseph
Автор

Watanzania duh kwa kutunga stori tu mumeshindikana😂😂😂😂

faizamohamed
Автор

Weee mimi bikra jaman, nina miaka 28 na nina bikra yangu na hii siitoi mpak nikiolewa inshallah, na huyo biharus kakosea angemwambia tu uyo mumewe kama hana bikra mbona ingekua fresh tuu

nahlahassan-fdle
Автор

Sio kweli bi harusi na mama umri mmoja na huyo wifi kwanini asifikie kwao bi harusi piko hana

MwajabuShabani-pf
Автор

Kutoka kwa dadake mume, huyo bi harusi na mamaake, naona wote wana smile..hii ni acting 😮

zaharaidd
Автор

Poleni sn Tanzania kwa vituko Kila série mnarihi ngum sn wabongo Kila rangi ya vituko

fatimahirakoze
Автор

Wasaniii haooo wotee story zakutengezaaa

omaryyusuf
Автор

Shida sio ubikra shida alidanganya yeye ni bikra kama angesema kweli yeye sio bikra pengine wangeelewana lkn sasa kadanganya hiyo ndio balaa

BabakerashidaMamake
Автор

Wapuuzi sasa mwanamke kasema bikra kumbe yukowazi mdomu umeponza kichwa 🤣🤣🤣kula chumaa icho 🤣🤣🤣🤣

iddykasabe
Автор

Yani huyo ashukuru mungu mungu kaepusha shari wasimruhusu aondoke naye maana hapo hamna ndoa ni ndiano Dunia duara

zenawahindi
Автор

Kwan bikra kitu gan uyoo jamaa co muoaji bhn wee Kwan wangap wameolewa hawana bikra😝

StellaLameck-gv
Автор

Bikra siku hizi ni urembo tu uyo mwanamme ana wazima, mjinga uyo mwanamme kuna bikra wap siku izi

majabiali
Автор

Watoto wa Kike kazi zao ni KUDANGA hawafikirii maisha ya baadae.

ndimimaskati
Автор

Hata iweje kuna vitu usidanganye kabisa kimoja kusingizia bikra, pili kudanganya hujawahi kuzaa halafu una mtoto unamwita Mdogo wako siku vijulikane ni hatari Sana

kanankirannko
Автор

Hapan hpana cha harusi naon n kujulikn tu mitandaon

siti