filmov
tv
MAMILIONI ya DOLA YAMWAGWA KUONGEZA MIKOPO kwa WAFANYABIASHARA - CRDB YASAINI KUWAKOPESHA...
Показать описание
MAMILIONI ya DOLA YAMWAGWA KUONGEZA MIKOPO kwa WAFANYABIASHARA - CRDB YASAINI KUWAKOPESHA...
Dar es Salaam. Tarehe 17 Oktoba 2023: Benki ya CRDB imesaini mkopo wa dola za Marekani milioni 150 zitakazotumika kuwakopesha wateja wakubwa waliowekeza kwenye sekta tofauti za uchumi.
Mkopo huo wa kimataifa (international syndicated term facility) umechukuliwa kwenye soko la kimataifa la fedha ambako Benki ya Intesa Sanpaolo na Benki ya Investec zimeshirikiana kufanikisha mchakato huo uliovutia wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Akizungumza kwenye hafla ya kutia saini mkataba huo iliyofanyika jijini hapa, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amesema mpaka kuupata mkopo huo wa kimataifa, mambo mengi yamezingatiwa ikiwamo kukopesheka kwa benki, uthabiti wa menejimenti ya benki, uendeshaji wake kibiashara na pia tathmini ya uimara na uthabiti...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PESA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

Комментарии