Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo (Video Teaser)

preview_player
Показать описание

Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo (Video Teaser)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Atleast diamondplatnumz utatutoa kimasomaso well done mungu akuongoze ktk safari yako inshaaallaahhh nass tutangaa kimataifa ss njia umeifungua wewe ur the best artist in Tanzania am proud of you

rithahaule
Автор

Dimond ni Noumah bro....Unatishaaaa...u r full of Talents, Creative and make us Proud of u tu ipo siku km ww cant wait to see full

nassoriddi
Автор

On point, wimbo unaiwakilisha africa alafu video linahadhi ya kidunia...du big up sana D.!!!

Navyio ona utawashindisha wenzio kwa waganga wakitaka kufikia level zako na wataambulia patupu.

RamsohLatinho
Автор

nadhani kuna haja ya kuwa na kombe la dunia la MUSIC coz we`ve ""our own little magician""

imadeo
Автор

i can see some 'django unchained, game of throne, shaka zulu  and king arthers' flavors, safi sana mdogo wangu ruka juu paa kabisa we need to see you in those big shows on earth achana na kushindana na akina alikiba na wabongo wabongo wengine, go for chris brown, usher, trey songs na wengine hata akina davido, iyanya hawakuwezi kabisa.
big up sana

barrydauda
Автор

it must be a hot one. i am dying for monday to watch it in full. Diamond you are our no. 1. go go go brother! let the world know you.

izzodelkim
Автор

Always Diamond l'll remain the Giant of musc in Tzd respect sanaaaa Bro unaweza

elishaalex
Автор

baba hiyo ni hatariii mwendo wa viparaaa

Supermansuma
Автор

Y'all this video will be dope.. !! Diamond will kill it this year.. Davido hapiti mwaka huu

swedi
Автор

ihope diamond is de phantastc icon of east african video i do love nouma

sheinomary
Автор

weka izo video bac Platinumz coz till now twazingoja  

munde
Автор

If only I could speak swahili.its such a beautiful language.

chitaluchafilwa
Автор

Ni hataaari Dangote wwe ni lavel nyingine ssa big up..

rahimmajid
Автор

I got the feeling this video is going to be epic...can't wait!!!!

alene
Автор

Mdogomdogo ndo mpango mzima ika hilo vaz silielew

rkingthingz
Автор

The video is epic, kip it up and make sure you dn let yo guard U hv changd Tz music thats for sure! Make sure you practise alot in live performance you focus alot in dancing! Bless

kimkayndo
Автор

This is his time!!! Keep it up dude!!!

frankgaspar
Автор

iko pouwa kabisa itabidi ufanye move utauza sana

zuberiswaleh
Автор

All ur songs are my favorite... I love u sana

moniesherry
Автор

What amazing video am speechless dat y ur my number one artist

abdulkitogo