Canon Au Nikon, Jinsi ya kutumia camera yako kwa mara ya kwanza/how to use your canon/nikon

preview_player
Показать описание
Umenunua #camera yako #nikon au #canonkwa mara ya kwanza hujui jinsi ya kuutumia, Fuatilia tutorial hii itakuelekeza kila kitu hatua ya kwanza hadi ya mwisho
#TimizaNdotoYakoPhotographyVideography

Vitu vya msingi kuwanavyo ukihitaji kuwa photographer/videographer Bora👇👇

Tutorial hii imedhaminiwa na bba_camera_store na mackenzie_photo_equipments👇👇
Wasiliana nao kwa simu namba 0756321653 kwa mahitaji ya vifaa vya production
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu akubariki sana kwajitowa ili kutusaidiya

kahejashukuru
Автор

Asante San kaka tumifurahishwa na Somo tumilipenda tupo pamoja Kila hatua ila brother iyo camera Ina cost shingp na duka gn naweza pata

Ritoonline
Автор

Shukran sana kwa somo Lako kaka🙏Zidi kutuelimisha sisi photographer wachanga

bilalybarisesa
Автор

Bro umenikosha sana Photography na Videography ni maisha yangu na ndoto yang japo sijafikia hatua ya kumiliki Camera ndoto yangu kubwa ni kua Biggest Videograher naomba utupe VFX effects

maysonmayela
Автор

Asante sana kk nimepata funzo kubwa sana

maulidhamad
Автор

Kaka mm nayo kama iyo iv IPO pwa Kwa pcha

CharityGayo
Автор

Barikiwa sana kaka anguu sio kilamtu unaweza kufanya ulicho kifanya huu ni msaada mkubwa kwangu🙏🙏🙏🙏

jamesrutha
Автор

Asante Sana, ila camera yang ni ndogo Sana, nitashindwa kujua

hawaynatimam
Автор

Hiyo inauzwaje kaka iyo kaz naipenda sana

richardkigeso
Автор

Kaka mfano unanunua kwa mtu utaangalia vitu gani ili ujue kamera haina tatzo

vitalisiputa
Автор

BBA camera store mnauza camare kwa bei gani na mnapatikana wapi?

jovinlupenza