Camera nzuri kwa kuanza photography/videography.

preview_player
Показать описание
Kama unataka kuanza kufanya photography au videography ni muhimu pia kujua camera sahihi ya kuanzia. Zipo camera nyingi sana na wakati mwingine unaweza kushindwa kujua ni ipi ya kuanzia, kwahiyo katika video hii tunakwenda kuangalia camera sahihi kwa mtu anayeanza photography au videography.

unaweza kutufolow instagram
au tembelea website yetu
kuona kazi zetu.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Canon 80D ni bei gan mkuu wa makadirio

habari-
Автор

Asante saana kaka kwa somo hilo, bei ya hiyo canon8d sokoni ikoje, nataka niingie kwenye huo ulimwengu wa photographer videographer.

yusuphoalfredo
Автор

Braza ninayo used D5000 nimenunu huku Oman vip itafaa kwa kazi ya photographer na video??

shazirynambombe
Автор

Ety broo canon d450 vp iko vzr kwny graphy au

mrdoller
Автор

Je camera canon 6d mark ii ni nzuri ? na ipi camera ni nzuri zaidi ya 6d mark ii kwa video

levidavid