NDEGE YA AIR TANZANIA YASHINDWA KUWASILI KUTOKEA MAREKANI ILITAKIWA ITUE ZNZ WAZIRI AFUNGUKA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Atcl wako vizuri aseee.... direct flight kutoka zenji adi marekani asee big up😂😂😂

geoffreymzaga
Автор

Kila kitu kusifiana tuu kukusanyana kumbe Ndege la zamani Mmeumbuka Ni wapigaji wanalea matumbo yao tu

joshuasamson
Автор

Ukisoma hizi comment humu daa, inashangaza sana bongo kazi sana na uelewa wa watu kwenye baadhi ya vitu bado sana

mohamedmbalazi
Автор

Africa mashariki jana ndege ziliendelea kupaa kama kawaida. Marekani nako ukiangalia radar ya usafiri wa anga kulikuwa vizuri tu na ndege zinasafiri kama kawaida. Zanzibar labda kama inanyesha huko!!!

emmanuelmwakibolwa
Автор

Amekosea kusema wao kama serikali wao sio kama serikali kiswahili fasaha aseme taarifa waliyonayo wao serikali

sadickshabankiloya
Автор

Nipo hapa Marekani. Hali ya hewa ni nzuri sana. Waache kuwadanganya watanzania kuwa ndege imezuiwa na hali mbaya ya hewa. Huo ni uongp mtupu.

peterndunguru
Автор

Hali ya hewa ipo vzr tuu mbona achen kudanganyana kweupe

husseinkonz
Автор

MAENDELEO YANAHITAJI SIASA YA KUJITAMBU IKIWA SISI WA BARA HATUTAKI ZANZIBAR BASI TUSIJIITE WATANZANIA BALI WATANGANYIKA NA KAMA NI WATANZANIA NDEGE AU SHUKHULI YA SERIKALI INAWEZA FANYIKA POPOTE BILA KUJALI MAADAM NDANI YA TANZANIA 🇹🇿 SIASA ZA WATAFUTA MADARAKA ZINATUPOTOSHA.

Kimonlinetv
Автор

Sizitamani ata kidogo hz ndege no Ac kuna vifeni, customer care bado mnooo, na kingine booking unafanya watu hawapo ofisini ujinga mtu wana kazi ya kuajir wahindi tu kingereza shida kiswahili balaa acha muendelee kupata hasara unapiga simu customer care everyone passing the ball ooh subir nkupe namba ya mhusika, hv kweli shirika linashindwa kuajir wazawa, kwa kazi ipo isiowezekana kufanyika na wazawa customer care mtu akishafanya kwa hospitality industry nai jambo la kawaida kwakweli nawachia wengine wapande hz ndege loh...all the way katoka uae....muache upigaji aiseeh

hawamohamed
Автор

Wacha ipolewe Zanzibar nyinyi si mnanga'ngania muungano

abduyassiralliy
Автор

Naona mama ameanza kuzipeleka kwwo lakin ndo maana imegoma.kushuka maana wanatufhurumu watanganyika

ANNAKISIGA-pcqs
Автор

Mwenye kuomba mabaya sehemu ya ubaya itmpata

OmarShifao
Автор

Ituwe zanzibar sio Dar duh tumepigwa nini

tinershayo
Автор

Juu kwa juu, Sasa ndege zimeanza kupokelewa unguja, ingawa ni mtumba lkn.mali ya Tanganyika.Mwinyi

AthanaseKiyoja
Автор

Huyo jamaa muongo. Anasema huku marekani hali ya hewa ni mbaya. Sasa hivi Jua linawaka kama bongo tu. Au ni wapi mtu kasikia ndege zimeshindwa kuruka sababu ya hali ya hewa huku marekani? Muongo huyo

ahmedramole
Автор

Ndege zinatutoa roho jamani hii ndege moja inatengeneza madawati mangapi wajameni?

jennytugara
Автор

Ni matumizi mabaya ya fedha za Umma kutumika ktk sherehe ya mapokezi ya ndege mpya za Sirkali kila inpoletwa hapa nchini.
Bila shaka ni mamilioni ya shilingi hutumika ktk sherehe hizo!
Je, kwani fedha hizo zisitumike kujenga vyoo mashuleni, vyumba vya madarasa, vitabu yva masomo mbalimbali mashuleni, nyumba za Waalimu nk?
Ni Mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima, Kishapu;Shinyanga.

AllyDaudiNgoyeji
Автор

SAMIA ANAFANYA ANAVO TAKA JESHI KIMYA USALAMA KIMYA WANASIASA KIMYA VIONGOZI WA DINI KIMYA MACHIFU KIMYA SASAIINCH NANI

VascoKasambala
Автор

Ukute Ngedere na bundi wametanda tena kwenye anga huko, Yani sisi Tanzania sijuwi ni nini tulimkosea Sir God

eddechriss
Автор

Niko Marekani hapa hali ya hewa haijawahi kua nzuri kama wiki hizi mbili 🤣🤣🤣🤣🤣. Hiyo Marekani ya wapi hali ya hewa mbaya 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

stateofart