NJE YA ULINGO 13/08/2024 | Mahadi Jr. dogo mkali wa vitasa anavyofuata nyayo za Mwakinyo na Kiduku

preview_player
Показать описание
Tazama kipindi cha VITASA NJE YA ULINGO ambapo mtaalamu wa vitasa Aidan Mlimila ameketi na kijana ambaye amekuwa 'akitrend' kwenye mitandao ya kijamii akionesha ufundi wake kwenye vitasa.

Huyu ni Mahadi Jr. ambaye ameeleza jinsi alivyoanza kijifunza ngumi #vitasa , mapambano aliyocheza mpaka sasa kwenye ngumi za ridhaa, na amewataja wakali Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku kuwa kioo chake...

Ni mtoto wa Manzese Dar es Salaam na anasema aliwahi kumpiga mtoto mwenzake ngumi ya tumbo na mambo yakawa sio mazuri.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunaomba selekari imuekee mkono huyu mtoto atimize ndoto zake kwasababu anaishi maisha magumu halafu anania

MusaRajabu-rwuz