VITASA MWANZA | Twaha Kiduku aangushwa raundi ya tatu - 29/07/2023

preview_player
Показать описание
Hivi ndivyo bondia Mtanzania, Twaha Kiduku alivyoangushwa raundi ya tatu na mpinzani wake Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini.

Ni kwenye usiku wa Dozi Kubwa, Dozi Nene, Dozi Nene
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ngumi ni technique Sio maneno. Big up🇿🇦 kiduku kajipange

elymollel
Автор

xo mbaya cku mbay kazin bro ungeza juhudi zaidi ya Leo. tuko pamoja kiduku

chuxdampa
Автор

Ana kimdomo sana huyu mtoto wa morogoro ana kutana na mabondia wa mchongo anajikuta sasa kayakanyaga

JeremiahMyrosse-qbyj
Автор

Twaha anasumbuliwa sana na mabondia wanaojua kutembea vizuri kwenye ring.Hivi ndivyo alivyopoteza kwa perali na ndivyo alivyosumbuliwa na yule Mmisri.Hata hivyo kupoteza ni sehemu ya mchezo ajipange upya safari iendelee.pole sana champion na pole kwa watanzania wote wenye uzalendo na nchi yao na wenye moyo wa kimichezo

aliymwazoa
Автор

Twaha maneno mengi sana ni kkumshambulia Mwakinyo

lingwamalagila
Автор

Wabongo wengi wanapenda matukio tu ya ushindi bondia ili uzidi kuwa mzuri kuna wakati lazima upigwe ili uzidishe juhudi so twaha kiduku big up sana usikate tamaa yuho jamaa alikuzidi kitu kidogo sana ambacho ukikanyia kazi next time unashinda 100!!!

maandaziimakavuu
Автор

twaha kaa mbali na mwakinyo bado sana .

saidyallyy
Автор

Twaha Kiduku ni bondia mzuri sana, pambano hili amepigwa kwasababu ninavyo fikiria hakufanya mazoezi ya kutosha na pia haja fanya mazoezi yatakayo mfanya asichoke upesi kipuunzi ulingoni alafu nafikiri kimuonekano wa uyo bondia mwenzake anaonekana ni kadogoo sana ki umri hivyo ili mfanya Twaha Kiduku amzarau uyo bondia kabla ya pambano kwaiyo ilimfanya Twaha asimfanyie mazoezi yakutosha. Sasa basi, ombi langu kwa Twaha kiduku angeze kufanya mazoezi kwa bidii kila siku yatakayo mjenga kua na pumzi ulingoni na kuwa mwepesi wa kupeleka vtasa kwa mpinzani wake, na pia asije akaja kumzarau bondia kwa munekano wake hata kama kadogo sana . Asante Twaha usikate tamaa zingatia hayo maoni yangu na kisha yafanyie kazi utayaona mafanikio yake, yani mm imenisikitisha na moyo umeniuma sana ulivyo pigwa.

kilimodiwanikilimodiwan
Автор

Aendelee kuchichora kama atakuja are Kwak mwakinyo fara uyoo kinyo babalaoo❤

PeterNyondo-pk
Автор

Twaha ume cheza chin yakiwango blaz ila kama mtanza nia bd nna iman naww ❤❤

kipenzimohammed
Автор

Hapo ndu huwa nashanga kama huyu kamtandika hivi kidogo azime sa mwakinyo c ndo atamuuwa kabisa ndo itakuwa mwisho wake wa ngumi aisee twaha Aache Tamaa ya kupigana na star 🌟

mkanulamajid
Автор

ya paswa ma BondiA wetu. Waji funze sana kucheza Najabu Namazo Ezi wafanye sana. Mwamba Ana juA sana kucheza Najabu Nia tari sana uyu jama

salubrown
Автор

Jaman ndugu zangu wa moro wote wamepigwa

moroland
Автор

Shida wabongo wanawake sana, maana wakiishakuwa maarufu wanawake wa bongo wanaanza kuwazonga kumbe ndio wanawamaliza, madonga aibu naye, huyu naye aibu duu, kazi ipo.

msafirimiracle
Автор

Azam media we are grateful for the work and entertainment you bestow on east African viewers but kindly have serious commentator who ain't bias at their work this is sport and people livelyhood are at stake ..watch what you say cause the game always rule. "Pressure is a privilege ... it's what you do with it that matters." ~ Billie Jean King

WaitingTides-lwow
Автор

Huyu dogo amenifurahisha sana amefundishwa vizuri sanaa na amemsoma mpinzani wake vizuri... Twaha anajua technic moja tuu jamani!!!!

stupendous
Автор

Uyo msauz atakuja kua bondia hatar sana dunian

kimatikimati
Автор

Inauma kwa upande moja ila pia ina faida kubwa, tunataka wapiganaji wanaoleta ushindani zaidi, naamini Twaha Kiduku hii ataichukulia kama funzo la kuongeza juhudi,

chacha-
Автор

Hakuna bondia wakumsumbua wellem Tanzania hii

AlphonceMundu
Автор

Jmn nianaza kumkumbuka Hassan mwakinyo

AbdulLatif-eg