Mazoezi ya kwanza kikosi kikiwa jijini Lilongwe, Malawi

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amini usiamini Simba itafanya makubwa mtashangaa mgunda namkubali sana pia Matola amefanya kazi njema sana

prophetjohnmasso
Автор

Hizi JEZI zinawapendeza wachezaji Sana Mda MWINGINE tukipigie

kakorejrboyz
Автор

Imefurahi sana kumuwona bocco still in Simba naependa Team yangu Wish you luck

munarjafu
Автор

Tunawatakia mazoezi mema na yenye tija

magnusmkinga
Автор

Sijawahi kuona Team Yangu Simba hata siku moja wanakimbia, wanapandisha milima, wanatafuta pumzi, kila siku uwanjani, kucheza safa bwega, tunahitaji wachezaji wawe na pumzi sana wakimbize sana.

neemaituwe
Автор

Team haina connection wachezaji wamekuwa selfish katika kupeana mipira kuingiza nyavuni hasa Banda na Sako pia Uongozi fanyeni juhudi za haraka kuleta coach mpya na kuifanya team iwe na connection bila hivyo huu mwaka usijeukawa mbaya

lilianmlowe
Автор

Ninaimani vijana wamempokea vizuri mgunda watafanya vywema

shadrackmdeme
Автор

ukiwaangalia unajivunia kua shabiki was simba, ila utoto mwingi hawako makini kabisa!!

stelaezekiel
Автор

Physical Mpo vizuri.Mungu awapiganie mshinde

patrickmkunda
Автор

Viongozi wamefeli term hii wanawafanya wachezaji wetu kuwa yatima

raphaelkyando
Автор

Hayo Di mazoezi mnacheza kama watoto. Kwa kweli wachezaji wa simba wanaishi kifadha ni aibu Sana. Tofauti ns yanga kwenye mazoezi na uwanjani wapo serious. Hawa wanatsniana utashikaje unachofundishwa ni aibu.lazima baadhi ya wachezaji wazawa waondoke waje wengine. Nyoni

jonathansirkintungi
Автор

SIKILIZA WIMBO WA MANDONGA ALIO MCHANA MWAKINYO BAADA YA KUPIGWA 👇

muuevara