Kikosi chaendelea na mazoezi ya asubuhi na jioni

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Fanyeni mpango wa namba Tisa na kiungo kabla preseason haijaisha

chrisbaraka
Автор

Kiungo wakasi box to box 8 please viongozi wafanye faster

bensimon
Автор

Kila la kheri timu yangu niipendayo 🦁🔴

roserajabu
Автор

Mshambuliaji aletwe lakini wasisahau kuwa na pale Kati kati wanapocheza mkude na kanute pana matatizo makubwa Sana pale ni shida

omarmussa
Автор

Ila Bocco uchawi wake mkali sana 😂😂😂😂😂

petermushy
Автор

Chukua hata sekunde 5 kuangalia touch ya okrah

Rugambwa
Автор

Kweli nimeamn hayupo mugalu wala kagele na tadeo

halidhoza
Автор

Bocco msimuuze pls . Ondoeni huyo huyo mugalu wenu

ibrahimchatila
Автор

Yaani binafsi hata sielewi kinachofanyika hapo..naona tu watu wanagongana hovyo hovyo

nkoydavid
Автор

Apo mleteni bobosi na manzoki Mambo yatakuwa gda towen ata kanute

wemapromise