Bella Kombo - Kama Naota (Re - Birth Moshi Tour)

preview_player
Показать описание
KIBALI, KICHEKO, AMANI, FURAHA! NDIO FUNGI AMINA NA IWE HIVYO 🙌🏽🔥🔥🔥🔥🔥

Special thanks

#kamanaota #BELLAKOMBO #REBIRTHEXPERIENCE TOUR MOSHI
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bella wangu🙌🏾🙌🏾 umebarikiwa jamaniii this song is something else💃🏾💃🏾

rehemasimfukwe
Автор

Wakenya wenzangu mko wapi tuipeleke hii pia kwa trending_ivi sionagi waganda
Wapi waganda wenzangu

GabroTz
Автор

Hakika kupitia wimbo huu mwenzenu nliuona mkono wa BWANA na nazidi kuuona mkono wa BWANA. Mara yakwanza nausikia wimbo huu nlikuwa nmetoka kupeleka barua ya posa na mahari vyote kwa pamoja. Ghafla dereva wa gari ambae hakujua tulikuwa na agenda gani ya huko alikokuwa ametupeleka akafungulia redio yake na wimbo huu akawa anaupiga kwa kuurudiarudia. Nikamwambia Mungu asante kwa kunipa amani na kicheko kwa kukubaliwa ukweni na mahari ikapokelewa😂😂😂. Kila wimbo huu ukipigwa nakumbuka ukuu wa Mungu wakati wa posa na mahari 22/04/2023. Barikiwa sana Bella Kombo na wote waliohusika kwnye wimbo huu. Sitaacha kumwambia YESU asante kwa kunipa furaha na kicheko.

boaskabate
Автор

Currently in labour, going through labour like the HEBREW women. Mbona kama naota? Tomorrow I'm coming back to testify Amen. Ingave birth like hebrew women. Glory to God.

harietmusula
Автор

I will keep commenting everytime because this is a winning declaration song. Bella you're a Mirriam taking a timbrel to dance for the victory God has delivered. Songs like these are birthed after coming from a deep valley... Anyone who has heard your story has not lived your story. You alone know what peace means after a period of no peace... I wrote a comment on Nifinyange because victory is given by God to His children, particularly those who have learnt the art of surrender... From Kenya here know you have someone who believes in the deposit of the Lord in your life. Thank you this song

Muchiri_Wairimu
Автор

Kama umekuja kusikiliza tena huu wimbo mwaga makopa

prediction_today_match.
Автор

Nakumbuka wimbo huu ulivyo nipa furaha nilipo ambiwa nahamishwa kutoka Burundi kuja marekani ndo wimbo huu bado unatoka kwakweli naupenda na moyo wangu wote 🙏🙏🙏Bella Kombo wewe ni baraka ufike mbali sana pia mtumikie Mungu wako hatokuahibisha na mbingu akupe amen

NaomieMasoka-xpob
Автор

Listening to this song today for the first time and wondering where it has been hidden for a whole year!!!! This is my declaration song now!

lynbona
Автор

This is me this Year🎉❤this is my song this Year 🥳💃

lightnesskobunga
Автор

ZABURI 126:1-6
[1] BWANA alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.
[2] Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, BWANA amewatendea mambo makuu.
[3] BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.
[4] Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.
[5] Wapandao kwa machozi
Watavuna kwa kelele za furaha.
[6] Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.
AMEEEN!!! 🤗

jeffsayye
Автор

Hii imechemka huku kanairo aka NAIROBI 💥💥💥💥💥💥💥💥 remix with Deborah lukalu ikuje

ebrahimasega
Автор

Wow..Nilikuwepo kabisa hii siku pale MTBC, ilikuwa ya baraka sana, hasa huu wimbo ulinibariki mno, God bless you sis, huu mwaka nitabarikiwa mpaka nihisi naota.. I decree and declare this to myself.

rtlusungu
Автор

Bella Kombo, huu wimbo jamani uko ligi yake ....Naucheza nikiurudia, rudia..iam blessed.

tomlutali
Автор

Pslams 126: 1-3 When the LORD restored the fortunes of Zion, we were like those who dream. Then our mouth was filled with laughter, and our tongue with shouts of joy; then they said among the nations, “The LORD has done great things for them.” The LORD has done great things for us; we are glad.🎉

ruth
Автор

Nami naamini mwenyezi Mungu atanijalia huu mwaka mpaka nihisi kama naota, Kwa jina lake yesu kristo naamini itakuwa hivyo 🙏🙏🙏🙏

leonardmadinda
Автор

Anyone who is here from Murugi Munyis stories abeg check In. I'm soo blessed by this song aki❤❤❤❤❤❤

lynnetirungu
Автор

As an instrumentalist credits to the bass player and the drummer, good job to the rest of the band too.

elijahmomanyi
Автор

When the Lord restored the fortunes of Zion, we were like those who dreamed.
Psalms 126:1 NIV

God bless you and your ministry Bella. 💃

carolinesyombua
Автор

The song is a blessing. Bassist and drummer understood the assignment 🔥🔥🔥🔥

marystellaKemy
Автор

Huu wimbo unatesa hapa Coast Kenya 🇰🇪😂

joskyshams