FAHAMU MATAIFA YENYE NGUVU ZA KIJESHI DUNIANI!

preview_player
Показать описание
FAHAMU MATAIFA YENYE NGUVU ZA KIJESHI DUNIANI!

Moja ya nguzo kubwa katika taifa lolote duniani, ni suala la ulinzi na usalama wa mipaka yake, hata hivyo uwezo wa nguvu za kiulinzi katika taifa lolote hutegemea uwezo na nguvu zake kijeshi sambamba na uwezo wake kiuchumi wa kuwekeza katika Nyanja hiyo.

Hii ni orodha ya nchi tano zenye nguvu kubwa kijeshi duniani ambayo kwa namba moja imeshikwa na taifa la Marekani ambapo kwa sasa linaongozwa na rais DONALD TRUMP.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mtangazaji umekosea wa kwanza ni sisi maana tunamtegemea MUNGU BABA yeye yuko juu ya silaha zote

shikaneno
Автор

Umekosea China INA askari milioni mbili alafu India ni yanne

johngermanus
Автор

Ilitakiwa urus iwe ya mwisho kabisa maana imetutia aibu kitendo Cha Kuls❤ nduki Syria kimetukeaza sans sisi timu putini putini ni muoga sana

lucksonsikaona
Автор

ww umekosea ufaransa hujaitaja na korea

saleheally
Автор

kama amekosea tangazeni nyisasa mnaojua kutaja marekani tu kutajwa wakwanza imekuwa kerokwenu

sirilimichaelpamojasana
visit shbcf.ru