MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 05/07/2024

preview_player
Показать описание
Tazama kipindi ch Mshikemshike viwanjani ambapo habari kubwa ni hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya AFCON 2027 iliyofanyika katika hoteli ya Johari Rotana Dar es Salaam.

Yanga SC, yafanya dua ya kumuombea aliyekuwa Mwenyekiti na Mfadhili wao marehemu Yusuf Manji.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tuimalike pia katika miundombinu ya viwanja jamani bado kuna mikoa iko chini sana kwenye ubora wa viwango vyake.

shaibumaulid
Автор

Kufigia nyumba yako mpaka mgeni afike Hapo Mh, Waziri panatakiwa miundo mbinu hiyo isiwe panapo fika wageni tu isiwe unakula nyama siku ya mgeni.

HassanRamadhani-xncg