Nyashinski - Silencer (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Shhh..

Produced by: DTX

© 2024 Geta International Ltd.
℗ Romoma Technologies Limited

Follow Nyashinski:

#nyashinski #silencer #drill #hiphop
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaskiza huu wimbo ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂

#RejectFinanceBill☠️

Zezeta-yrhy
Автор

Kama uko hapa before 7hrs are over we ni Fan damu

ErickGichu
Автор

Thank You Cedo for making Shinski start rapping again🔥...the commercial singing was getting too much😅😂

brian__ngugi
Автор

Nyashinski allover sudden becoming Nyashinski after being Nyashinski all his life🙌🙌🔥🔥

KelixCreative
Автор

Jana alikua protests na leo ashadrop 😂. Huyu msee ni GOAT

cozmorry
Автор

naongea mafi heshima ni must aty una haribu image. wapi likes za nyashhinski

samykanga
Автор

Nimefika katikati nkaanza tena, feeling like sijaiskia vizuri...

blacksignaturevisuals
Автор

I leave my comment here so that anytime someone like it, am notified to listen again and again this wonderful masterpiece🔥🔥🔥....hii nikama dose

ericgitau
Автор

Wasanii mmeamua 2024 hakuna kukalia beef tena. “Ka skupendi skufichi.”

urlphie
Автор

Shinski 👑💪....
Anataka kulipwa kama boss na huwa anakuita munene 😂😂😂😂....
Msamehe jameni 😂😂

alvishype-fathe
Автор

Cedo...unasemaje bro, wapi Ile Mita 10 Na umenipa moja tu?!!!

Nyashinski....skiza silencer

ROBERT-uxi
Автор

Gaddem it!!!! Unalisha family nalisha village

Ndolliey
Автор

Unalisha family mi nalisha village, unanuka mavi😂😂, ,

Welly_josh_official
Автор

Huyu ndio Nyashinski nayemtambua. One Love from Tanzania

The
Автор

Nimesikia Iko mtu wa mkono inalia ati anataka kulipwa kama contractor, hao ni macancer

khaligraphisaac
Автор

"tamaa ya ganji inafanya bp inapanda, wivu inakupea heart attack" spit brother 🔥🔥🔥

randoms
Автор

Waaa Gen Z tuko maandamano, cedo naye huku anaandamwa na mistari hatari, styles ni deadly deadly hii kenya😂😂😂😂

robertsimba
Автор

If you believe Shinski is a GOAT in Kenya, like🤞🤞💪💪

boazmaranga
Автор

Wapi likes za the real goat, , ni stupid ku argue na fools😅

Welly_josh_official
Автор

Am from South Africa I don't understand the meaning lakini hyu msani amefow sana naongea mafi heshima no must aty una haribu picha wapii like

mrlau