BLACK - NAIBOI X NYASHINSKI (Official Music Video) FOR SKIZA TUNE DIAL *811*127#

preview_player
Показать описание
Performed by: NAIBOI AND NYASHINSKI
Produced by NAIBOI
Mastering : Lucas ( Ogopa Dj )
Video directed by RAWW
Models by Chava
Make Up by Glow with Asande
Styling by KiloKilo Creatives & Wambui Thimba
+254723723734
#BLACK #Naiboi #Nyashinski
Connect with Naiboi on ;-

Download and stream Naiboi's Music on ;-

LYRICS

[Verse:1] Nyashinski
Yeah
Unacheki superhero on a mission yeah
Black on black looking like a billionaire
Game ninayo mobingine free nawapea
I know its impossible to really not stare
Spend weekend mzima kaa simu iko mteja
Flow ya kukfanya useme Shin come tena
Tom Ford inakuja na breeze unaismell
Imemix na shash but you really can't tell..
Black ju chini
Window nilitint kabla uhamie mjini
Ni ngumu uresist chizi fly kaa mimi
[Before unitrust we niambie itatake nini]
Sibadiliki
Melanin ju chini hakuna bleaching
Black is beautiful hiyo ndo teaching
Geuza thinking
Ni ma-king tu na maqueen

CHORUS
Squad yote mpaka DJ Black
Juu ya Kwang ongeza Tire Black
Compettion naicheki kwa kioo
vako yake pia ni back on Black
Miichael Jackson Black
Bank account on Black
Spend my cash on Black
and her Ass on Black
Compettion naicheki kwa kioo
vako yake pia ni back on Black

[Verse:1]Boyz club tume dunga ma ope na nyonginyo
Tuko moshi i swear siwezi tell pali tuko
Tuko setere sese mchezore zeze
Run hii shit yani mobuture sese
(Mmh)
Switch bank what a champe does
Ndani ya ring nima headi zinedine zidane
Na ata letewa ile kitu minadai ime vai
Wakikata maji miniko divai na gethai

Ka theres a will theres a way Niggas nje ya ndoa
Nshawashuku hawa nyoka saa niku wa dondoa
Nauezi hepa lugha yangu vile na roroa
So nipe standing ovation vile na kaa poa

Nime dunga black ndani ya G wagon again
And black model and her friend
Chupa ni black
Tags intact kwa swag
Nasumbua ka kibeti ya kyallo

CHORUS

Naiboi
[Bridge] Am the one
Number one
Super hero
Super man
Your my lady
Your the one
Kuja hivo
Usi turn
Nyashinski
[Bridge] Unacheki superhero on a mission yea
Black on black looking like a billionaire
Game ninayo mingi ingine free nawapea
Si na hao tafadhali usicompare
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyashinski really brought out the beast in me from me producing this myself to actually Rapping again is all Nyashinski’s doing!!! Keep a friend who pushes you to greater Levels !!!! Thank you once more for your love and support A Naiboi worldwide #OTERO

NaiboiWorldwide
Автор

Nani ametoka tiktok kwa swings.. mission tafuta naiboi

linetchepkurui
Автор

Nime slid ghafla kutoka 2024.kaa tuko wengi chapanisha like hapa
👇😏🔥💯

KabuiMainakenya
Автор

Likes kwa wale favorite colour ni BLACK kama mimi🖤🖤🖤

mistariprovider
Автор

Legendary wangu wawili pamoja....'BLACK' This jam deserves millions of views... Right? gonga like if you agree

maureenochong
Автор

Nobody:
Naiboi:ndani ya ring Ni mahedi Zinedine Zidane💥💥💥💯💯
How many are here before a million views 👇👇

dennoh_phennal
Автор

Naiboi urudi joh tumekuhata buda🇰🇪🇰🇪🔥🔥☑️☑️❤️❤️

joelwatharanjuguna
Автор

"BLACK IS BEAUTIFUL HIO NDIO TEACHING GEUZA THINKING"

"Where there's a will there's a way, ninjas nje ya ndoa, nishwashuku hao manyoka saa nikua dondoa"

BLVCK is too liit🔥🔥🔥

double_l_Ke
Автор

Hiyo Michael Jackson ya 1:56 🤣🤣🤣 Gaaance!

NyashinskiOfficial
Автор

"Competition naicheki kwa kioo"
I am my own Competition 💯

jjazzzz
Автор

Nobody:

Naiboi:nasumbua ka kibeti ya kyallo

leneillestprint
Автор

"Competition naicheki kwa kioo" 💯

waithiranjeri
Автор

hapo 1:45 kuna majamaa watadhani ni random line tu. Hawajui vile kibeti ilisumbua

Kandieee
Автор

Melanin juu chini hakuna bleaching
Black is beautiful hiyo ndo teaching💥🔥 🔥💯
Shout-out to all the melanin girls out there. We love you just the way you are 🥰😘

dresden
Автор

Tuko moshi i swear siwezi tell pahali tuko si tuko seteree sese mchezore zeze... Tint niliweka kabla uhamie mjini... Noma sana

dennisgachuhi
Автор

Collabo of the year. Everything Nyashinski does is pure gold

dextersmind
Автор

Who also knew that no matter how long they will take tym, , , they will definitely come with a hit song!!

bonganaaleki
Автор

I'm the one ...super hero 💯💯💯💯💯☝️☝️

estaesy
Автор

Hii song inafaa ikuwe na views over 8 m now... Nyinyi kenyans what are you watching on youtube?!

calebwanjala
Автор

Two artists who don't have any bad song.
Mob love
Edit: Naiboi liked and commented on this. How do I handle all this fame??💪💪😂
#BLACK

anthony
join shbcf.ru