Marioo - No one like you (Happy Birthday)

preview_player
Показать описание
+For More Information Booking Marioo:

©2024 Bad Nation.All rights reserved.

#Marioo #HappyBirthday #NoOneLikeYou
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Niseme tu Nawapenda Marioo na Da Pau...kila la kheri katika maisha yenu kisiingie kidudu mtu💙💞

PetronilaFabian-odjt
Автор

Sending love from Kenya 🎉🎉Paula deserves all world ❤waliomdharau Sasa nawaone mapenzi

juliusngure
Автор

Nimesikia machozi 😢 juu ya haka ka challenge.. Asante Sana marioo niko nyuma Yako nakuaminii❤❤

JeanBoscoManirambona-lkkq
Автор

Nimejikuta natoa machozi Allah awatunze mbali mualalishe❤

hadiaamiri-igxm
Автор

Paula hongera sana mwanetu, umepata mtu mwema na ana hofu ya Mungu ndani yake. Mungu awabariki sana.

MagrethMallya-weui
Автор

💯💯❤️❤️🎉🎂🎂happy birthday Paula nawatakia Kila la heri Kwa ndo yenu ishallah

GraceNaipanoi-spbb
Автор

Marrio nyimbo nzuri sana , uwezo wa nyumba sina, uwezo wa gari sina, mungu awalinde

vyonneeugine
Автор

Masikini hapo analia kwamengi ukiangalia matusi alio kua akitukanwa lkn mungu nimwema Kampala mtu sahihi dada penz renu lidum❤

samiraramathan-bdbc
Автор

Mashaa Allah! Simple but nice and humbked words!

FatmaRamadhani-jtim
Автор

True love is what Marioo delivered to Paula❤❤ she's genuinely happy and enjoying 💐💐🎉❤ happy birthday PaulaKAJALA

Skoki_dramaqueen
Автор

Nyimbo hii ni kwa wale wanaowapenda kweli wapenzi wao tu😢❤❤🎉

HidayaHamisi-ql
Автор

Umenilazimisha nikoment, ukweli mwamba umetisha, hongera nyingi kwako mario, umepatia saana.

MichaelKayala
Автор

Kwa Sasa Marioo Wenda akawa kwenye watunzi Bora hapa bongo maana kaua na anaimba kwa hisia kabsa kwel Hawa wamependana hata Paula katulia ❤❤❤ this cauple

MshikamanoAmcoss
Автор

Hebu Mario huyu ni mkewako ebwane mbona ni murembo ❤❤🎉 happy birthday to you 🎂

ColletKwiociwy
Автор

Endeleeni hivy hivy kupendana mungu awalinde nyote inshaAllah

BintiHamisi-us
Автор

Kama shabik wa marioo gonga likes za kutosha

motothecardoctor
Автор

Mungu awalinde Baba na Mama Amara, mudumu milele my lovely couple of the year❤❤❤❤❤❤❤❤❤

Brayootieno-bc
Автор

❤❤❤❤this is the best thing I have seen today

lizzvivianne
Автор

Lov you siz pau adi nmelia pia may the almighty God be on your side, much love from kenya❤❤❤❤🎉

DulaYanga
Автор

marioo umetunga shairi nzuri sana adi natamn kutoa chozi 😭

BlessingHonore-ffgz
join shbcf.ru