HOUSE GIRL EP 52 | S3 | LOVE STORY 💞💕

preview_player
Показать описание
#bongomovie #mymother #housegirl
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bwana Yesu asifiwe yoyote atakaye soma comment hii mungu ampe maisha marefu halafu kma waona candy atakuwa mwenda wazimu gonga like 😂😂😂

SaumuJumwa-uv
Автор

Mamaake kendy umetusaidia sana kumuokoa zuu wetu, tulidhani kendy atamtumalizia zuu wa kai wetu jamani, kaa unakubaliana nami gonga like hapa🎉❤

isabellahchuma
Автор

Kendy yuko vizuri sana kwenye kuingiza hongera sana unajitahidi

dinakindole
Автор

m party ya candy siweziii chezaaaa ukwelii yupo jasiriiii sanaa candy🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

BlessAnaniasPhilipo
Автор

Tunaotazama hii tamthiria naomba tujifunze kitu candy anatufundisha tumuheshimu mama tusizarau tusibakie kucheka tu nakumchukia kend yuko vizuri kuwakilisha jamiii

GelewadaMtitu
Автор

Wale wako n mimi kuamini kiramba n samoe watakuwa wapenzi tena mkono juu 🤚🤚

Korinogalmoney
Автор

Mama cand msurubu huyo jmn mana ananiudh Sana mambo yake huyo . Na mda SI mwingi kilamba na Batuli ndoa itapita, wanaoungana NAMI tujuane sasa❤❤❤🎉

sharifanyumayo
Автор

Mmefanya jambo labusala kweri kumuondoa yule jasmin wa mchongo😅😅maana wala hakunoga pia alipoonza sanaaa☺️

OmanMuscut-juxp
Автор

Jamani ndug zanguni wana BUSATI TV nyieee oooote Ninawapenda saan, mumeshindaj?? Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya BUSATI TV, nina Imani sote ni wazima w, Afya nakila mwenye tatizo lolote Namuomba Mungu alimalize kwa Huruma zake, napia 😘ninawatakieni jioni njema napia tulale na Ulinzi wa Mungu, napia tunamuomba Mungu kwa Huruma zake atuwezeshe kuiona siku ya kesho tukiwa wazima w, Afya telee. Aaaameen 🤲 🤲 😘😘😘😘😘😘😘😘😘.

SadaDjuma-eb
Автор

Olololo....kazi nzur...ila part anayocheza candy ni ngumu sana ila anaipatiaaa..congrats beauty candy

Aljentina
Автор

Koma we chiko shetani wa nywele mbili utoe kiumbe Cha zatiti kipenzi Changu na pia umuuwe Mr. Tasha ushindwe unataka laana sasa kwa mashabiki wa busaty nikianzia mm sijapenda walai

RizikiStadza
Автор

Congratulations 🎉 team, , , Leo hamjatuchelewesha... Alafu kai jifunze kupigania zuu

EverlinNamalwa-mloe
Автор

Jamaniii kilamba leo kaongea kwa hisia sana 😢😢😢😢 pole kaka pole sana chiko cchiko 😂😂😂😂😂 umefeli maisha kaka huwezi kuzalisha kaka

veronicawilliam
Автор

Safi sana leo mumetufurahisha . Muwe munaweka mbili mbili

ElishaClaude
Автор

Waooo na me nimewahi dk 5 naombeni like jaman tuliofurahishwa na mzimu wa ma Candy kumuokoa Zuuu❤❤❤❤

LuciaBukula
Автор

Kimekuramba chiko😂😂😂😂 SS ndugu zako WA saudia twapeleka mauwa Kwa Mr Tasha team Tasha ooyeeeh

SanuraNamlola
Автор

Mwenye anahisi mpumbavu mwenzangu baadae atakuwa na somoe gonga dole twende sawa

biommy
Автор

Wote mulioenda kwenye harusi ya zuu na kai nawaomba mukamchukue na yule mbuzi muandamane muende mazikoni. Wanaokumbuka wanime like zangu.

AshaMohd-un
Автор

Itakua poa kama batuli akiolewa, na kilamba nan anakubaliana na Mimi gonga like🎉🎉

NiramuKanda
Автор

Asalam alaikum good job guys 💞 hata mukitoa nyengine hii ikiisha nitabaki na huzuni Sanaa nawapenda sana nyote ALLAH awahifadhi InshaAllah ❤❤🇰🇪🇸🇦

FatmasaidAhmed-wsrs