Frida Amani - Dude (Visualizer)

preview_player
Показать описание
Frida Amani drops a powerful new anthem, channeling the legendary spirit of Tanzania’s Bikidude. This track is all about girl-boss energy and celebrates the strength and resilience of women. Frida is here to remind everyone who’s in charge.
"Dude" is a testament to Frida Amani's unique versatility as an artist, seamlessly blending Hip Hop and Dancehall vibes while channeling the spirit of the legendary Bi Kidude. The song showcases her ability to merge contemporary and traditional influences, resulting in a dynamic and captivating sound. Accompanied by a visually striking video that pays homage to her roots, "Dude" features a creative and infectious hook, highlighting Frida Amani's cool and confident style.

Frida Amani Booking info:

Catch Up with Frida Amani on :
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

You play a great part kuonesha kuwa msanii sio lazima uvae Half naked....🔥🔥🙌 Hili kweli Dude

Silversieh-btzk
Автор

Guys msaada kidogo ni nani producer wa hili dude Nina maua yake 🎉🎉

ReubenMdashi-vsmh
Автор

Daaah unyama na mtafuta aweke unyamà umu.

HichiyBaisaa
Автор

Wale wadudu wa Arusha wakiipata hii baasi Frida umekwishaaa

godwinsamwel
Автор

Hii nyimbo ukiskiza mara moja tu bila kurudia huend mbinguni wallah

francodt
Автор

Bonge la dude kwakweli sasa apa kanyau 🤣😂😂 umruhusu mbuzi
🐐🐐young lunya aweke verse tupite nayo

ShakiruNadhiru
Автор

Bib up sana. Nimeirudia song kwa mara ya pili. Hongera hata kwa namna unavojisitiri.

DaudiMazengoMasterDTEM
Автор

FRIDA KIDUDE on this one 🔥🔥🔥🔥 masterpiece

JeronimoSimon
Автор

Daah sijawahi kukufatilia kiukweli, ila hii kama noma sana ubunifu wa kipekee sana yani iko simple sana na unyamwezi ni mwingi

deezg
Автор

Kiukweli FRIDA AMANI unajua NIKKI MINAJ wa BONGO, we mtoto 🫡🫡🫡🫡

PerfectJbo
Автор

HUYU BIBI ALIYEKAA PEMBENI NA FRIDA YUPO SERIOUS SANA😂😂😂 NICE SONG

ankochoka
Автор

Masoja, , haichoshi kitazama❤❤..big creative skils

chrisantalyimo
Автор

Hip Hop is moving to another site ni 🔥 let's do this again

MFLC-
Автор

Female artist in from Tanzania 🇹🇿. Creativity 💯 🔥

onejoker
Автор

dude afu mbonge la video



🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Mkulima_Smart
Автор

Dude kama dude ilo ni dude ngoma imefika sehemu salama hapa mozambique 🇲🇿

kalziidazamba
Автор

Remix apite g nako apo sim msiba 💥💥amalize mwana FA ingekua nyokooo

CheobaObadia
Автор

🎉🎉 KUBABAKEEE 🙌 NISHAPATA NGOMA YA KUFUNGIA MWAKA MAPEMA MIMI 🏌️💯

SujuduMussa-nnib
Автор

Ila huu wimbo nimeuangalia mara nyingi sana hakika ni mzuri sana🎉🎉🎉

GeradinaJohn-xhpw
Автор

Creative 10/10…everything about this song is 10000/10000 🙌🔪🔥

LeeCaramel-uq