BAHATI BUKUKU | MIMI NI MZIMA WA AFYA | SIJAFARIKI

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amen nimefurahi kusikia uko mzima, nakupenda sana mtu mishi pia nyimbo zako

lilianokola
Автор

Amen Amen Amen Amen 🙏 may God give you long life live long mummy we love you so much 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

florencegalmogle
Автор

Amen mungu n mwema nakupenda sana mummy from Kenya wimbo sako nasipenda mno

linetkemunto
Автор

Mum uataishi na utakula mema katika nchi ya walio hai katika Jina la yesu kristo. Ni violet from kenya God bless you abundantly mamaa.

violetnasimiyu
Автор

Jaman mama ni mzima kabisaaa guys acheni kumzushia bhnaa🥺❤️❤️

gospelmediaafrica
Автор

na machozi juuu dah! Nimefurahi uwepo wako dada

victorialucas
Автор

God bless bukuku love love love love from Zambia

pimgee
Автор

Amiina amiina Mungu akulinde mtumishi wa Mungu aki nilikuwa sijakubali

sarahuwamahoro
Автор

Waliokutakia kifo na kirudi kwao wenyewe mungu azidi kukulinda

cgvfblb
Автор

Mungu akulinde aky watu n wabaya mno tu kuombea wenzenu mabaya

mariamsamwel
Автор

Wacha hayo maneno na wanasema, yakutie nguvu ya kusonga na mbele na hata zaidi kumsifu mungu.

dianamwendwa
Автор

Daaaah watu wabaya Mungu akulindee mama na akuongezee miaka tena

neemajiday
Автор

Waongo nyii watanzania ongopeni Mungu, kwanini mnamuua huyu mwanadada n ako hai mshindwe na mshindwe mfururisho bahati ataishi mshangae

winfredmueni
Автор

Asante Jehova mungu akujalie maisha marefu dada

lillian
Автор

Yani watu sijui wanataftiaga vifo wenzao wafe wao badala yake😢😢

everlyneiminza