WATALII KUKATA BIMA KWA DOLAR 44, MAMBO YAMEWIVA, SERIKALI YAFIKA UWANJA WA NDEGE KUKAGUA MAMBO HAYA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Safi lkn sisi wazawa wa zanzibar wengi wao hawana bima munge aza nasisi raia kwanza

mohamedrajabu
Автор

Mm nataka asije mtalii hata mmoja maana iyo bima sio ndogo

fatmasaid
Автор

If I don’t use the insurance will I get a refund???? And what if I have personal insurance????

silverman
Автор

Make them pay. Going to these countries of these same tourists is filled with so much bureaucracy and headache. They need to face some problems too. It's only 44$ (Tsh 120, 000). Spending more than $ 5000 but can't pay 44.

animaniacs
Автор

Wakixapotea ao watalii mutafanya utalii wa ndani

AbuuBakar-t
Автор

Kiukweli katika serikali yetu ya Zanzibar tumekosa watu ambao wana uwezo wa kufikiri nini wafanye ili kukuza utalii. Watu tulionao wanafikiria vipi watawapandishia kodi watalii ili wanufaike wao. Kiukweli wadau wa utalii tunalaani jambo hili. Na Allah tunakuomba mpe laana alievumbua wizi huu wa kuwaibia watalii kwa lazima.

IddiKhamis-uc
Автор

AAA wanataka kufukuza watalii na kama hawaamini subir wataona wenyewe serekal ifikirie Tena maana wazungu wakija kutalii wanakua wapo na bima zao kamili kutoka kwao matibabu wenyewe haypo Zanzibar.

RashidKhalfan-cw
Автор

You gonna loose so many tourist we do have our own insurance you muppets

silverman
Автор

Serekali ifikirie tena, tunazo bima zetu, musitulazimishe

shahiraismaily
Автор

Jaman hata sisi wabongo naomben jibu maana natarajia kwend zanbar mwezi wa kumi

ashrona
join shbcf.ru