Wakadinali - 'Mariwana' (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#Mariwana #RongExperience

FOR THE MERCHANDISE AND ALBUMS YOU CAN CONTACT
0111436638

RONG EXPERIENCE TICKETS

Stream our Albums via the LINK Below

Produced by Aress66
Audio: recorded ,mixed /mastered by Aress66 @BIgbeatsAfrq
Visuals Directed and Edited by @kimbuyuandnjerikhan

ZOZANATION

Follow Wakadinali
Twitter:

/ wakadinali
Instagram:

/ wakadinali
Facebook:

/ wakadinali

/ foreign-mghett
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

0:42 Ati, nakucop nakusort nakufold nakuroll nakusmoke unanichoke
Bado nakutop
High school nkiwa broke nakubroke siku za drought nakudrop
We ni plant we ni crop, why stop?
Nakupass nakureceive, nakusieve nakusieve nitoe seeds
Na your siz ni macigs naeza mix iwe biz
Nilikusprinklia molly, ukacheza kama wewe ukanipatia Maureen
Nikiwa na rende unatulizanga ngori
Mungu akulinde usishikwe kwa hio lorry
Unalight mood time tunafeel boring
With the right coop ndani ya chai ama coffee
Nakukula ocha ama Nai nikishikwa na wewe manze cop anasmile
Siwezi kukupata shop nikidai, na msee hukuleta ye hupoteza time
#SCAR Never misses😮‍💨❤️‍🔥

dfw_jerry
Автор

I love how they used Kimbuyu creative art on this video. Thanks for supporting Kenyan art

andrichamemories
Автор

LYRICS

Si dis your herb rasta
We a smoke it anywhere yeah you mi know
Asi mi a try legalize it na global status
Call me a world citizen so me a smoke the world over
So me a make sure
Wakadinali, mi nuh tell dem wagwan
Walai mama, mariwan nakuroll nakufold nakundasus kwa nyong'inyo
Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho
Ushanganyanya, mpaka Wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio
Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho
Ati, nakucop nakusort nakufold nakuroll nakusmoke unanichoke
Bado nakutop
High school nkiwa broke nakubroke siku za drought nakudrop
We ni plant we ni crop, why stop?
Nakupass nakureceive, nakusieve nakusieve nitoe seeds
Na your siz ni macigs naeza mix iwe biz
Nilikusprinklia molly, ukacheza kama wewe ukanipatia Maureen
Nikiwa na rende unatulizanga ngori
Mungu akulinde usishikwe kwa hio lorry
Unalight mood time tunafeel boring
With the right coop ndani ya chai ama coffee
Nakukula ocha ama Nai nikishikwa na wewe manze cop anasmile
Siwezi kukupata shop nikidai, na msee hukuleta ye hupoteza time
Walai mama, mariwan nakuroll nakufold nakundasus kwa nyong'inyo
Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho
Ushanganyanya, mpaka Wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio
Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho
Yoh yoh yoh yoh yoh
Una manickname leo wacha nikuite mamuu
Sipendi system kwanza vile inakufanya
Uko na sistren ye huitwa Mariamu
Sinanga dishken ju sipendi kuhanya
Lack of funds ilibidi nimekupanda
Ju hata namba ya pedi nikipiga haipatikani kwa sasa
Nafaa meds every time nakuramba
Umepitia many hands ndio tu uwekwe kwa siasa
Nikismoke mi hubehave mi si crackhead
PDA hadi kwa bukla na iwake
Small neck big ass we si mchache
Ikifika point unazimisha hadi wazae
Wanashindwa nilikufind aje, ni aroma bro yangu akikusmoke daily, uh
Matumizi yako hata usitaje, hakuna haja ya kublow your own trumpet, uh
Nikiwa na wewe siwezi kuwa caught lackin'
Na ni ju yako mi hupatia karao something
Wameshindwa nilikufind aje, ni aroma bro yangu akikusmoke daily, yoh!
Walai mama, mariwan nakuroll nakufold nakundasus kwa nyong'inyo
Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho
Ushanganyanya, mpaka Wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio
Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho
Shash leader, need me a doctor
Stress reliever, pass me da Vida Loca
Eva, you hear that, iva na
Pale kando drink ni Asparlina
Beast hood walinisifu YouTube
Zile ngoma big tune sababu nko mavitu
Hadi mbeibe know she come second
Sababu mariwanna ndio fragrance
Munga mi hujuanga kusafisha, utamu wa ngunga ni kukiwakisha
Kuna mapedi chunga utatoanishwa
Vile utamu wa tuktuk ni kurushwa rushwa
Sare uwaganis, vela tu ndio catalyst
Ha, ha zile za kiherbalist
420, hio masaa tu ndio best
Ni kuvuva marima Embakasi West
Tangu niwe mono zile kladi bigi big
Attire nono nono sif Riggy G
Cheki CV yet, am the kushde Bill Gate
Nazizoza ni ka it's my birthday date
Kila checkpoint "Sundwa huku", police dem a search you de miss you
Birthday date kila checkpoint
"Sundwa huku" Police dem a search you de miss you
Walai mama, mariwan nakuroll nakufold nakundasus kwa nyong'inyo
Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho
Ushanganyanya, mpaka Wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio
Walai mama, mariwan nakulove nakusmoke, marashi za ombitho

upthrust._
Автор

"small neck big ass we si mchache ikifika point hadi unazimisha wazae"Gonga like ya SEWERSYDA🔥🔥🔥

dennoh_phennal
Автор

kama umekua fan wa SCAR tangu KOVU piga like na uongezee hook za MJINGA 🔥💯💯💯
WAKADINALI 🔥🔥🔥

eduu
Автор

Munga is the best thing that ever happened to Kenya's HipHop scene.

RibacastThePodcast
Автор

likes za munga, scar na sewersyydda tukisonga💯👌🏾

iamshykid
Автор

I Wish Zzero Sufuri pia Angekua featured Kwa ii Tune na tufunge Mwaka tu ivyo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

kondeleman
Автор

Mariwana changanyanya paka wajakoyah ikabidi akusifu kwa radio wapi likes za Munga🔥🔥🔥🚀

yobrahke
Автор

Oya hawa masela ni hatari nawakubali kutoka Bongo🇹🇿🇹🇿

Joe-
Автор

👑 Kings of Kenyan music.i don't regret breaking up with my wife to concentrate on wakadinali 24/7 🎉🎉

Yourstrulymusic
Автор

Ati, nakucop nakusort nakufold nakuroll nakusmoke unanichoke.. Fire 🔥

elijahramonn
Автор

Mariwanna to the world 🌎 Wakadinali all day 💯

felikskasyoki
Автор

Wanashindwa nilikufind aje n Aroma bro wangu akikusmoke daily❤

evanskivuva
Автор

"Strong men build strong communities". This is not just music, this is #Magic 🔥👏👏

taylorskadi
Автор

Manze hii n mbaya kibuyu man manzee lifting each other ❤❤ mad love me imenibamba sana manzee kuona kazi ya kibuyu man 🎉🎉🎉🎉
Long live wakadinali

Gbwoy
Автор

Watching live from embu uni, , , , taking blunts while learning, , , ,
Call it Higher education

shemmageni
Автор

Truth be told This guys are really talented thumbs up on this one

josephgitu
Автор

Wakadinali finally gave us what we wanted as fans, , wametupea vida ya mariwanaa, , Alf wakamalizana na NYC3😂

vinane
Автор

Top tier... I felt it when Scar said "Na msee hukuleta ye hupoteza time"

realspiky
visit shbcf.ru