Domani Mkadinali - 'Blow me kisses' Ft Sir Bwoy (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
#BLOWMEKISSES

Beat by Ares 66
Guitar by Jeff Magina
Recorded,mixed and mastered by Ares 66 at BigBeatsAfriq
Visuals: Directed and Edited by Slim Visuals

Follow Domani Mkadinali
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

No way this hit was released three years ago but it feels new today. Domani is the goat buana

Daniel_Kyali
Автор

Siwezi kua mCo-operative na Tellers 🔥 🔥 🔥

#NdiziFlowCeo

XRayKing
Автор

(LYRICS)
Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda

Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman

Yoh nikibuy Vodka Whiskey ndo chaser
Kuna line flani Munga nadai kurudia tena
Nina deng'a kwa vip Rashid Echesa
Hii ndio line siwezi kuwa mcooperative na teller




Mresh ameoga na haringi
Naitwanga rasta mi sina ya bingii
Corona virus na siko China
Man nimekam thru na a simple like man

Ulinifanya nithrive
Nakupenda uko kwa mawazo siku hizi si rhyme
Nilikupenda sana btw thanks
After kukuwa my partner in chrime

Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda

Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman

Mashallah girl you always on my mind
You always on my mind
You're beautiful smooth and kind
Girl ukismile unakaa so fine

Na mpenzi makerubi kaumbika amejaza
Kama toil mwisho wa mwezi
Ayaya I hate and I love When you drive me crazy
Cheza chini mama we si namble we si razy

Hananga maringo ako Kaloleni
Hata umpeleke City Stadi si mchezi
Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi
Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy

Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda

Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman

Mashallah girl you always on my mind
You always on my mind
You're beautiful smooth and kind
Ma ukismile unakaa so fine

Mpenzi makerubi kaumbika amejaza
Kama toil mwisho wa mwezi
Ayaya I hate and I love
When you drive me crazy
Cheza chini mama we si namble we si razy

Hananga maringo ako Kaloleni
Hata umpeleke City Stadi si mchezi
Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi
Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy

Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda

Blow me kisses whichever distance
We zirushe hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman

Livingbymyownterms
Автор

Leo nimefika mapema...rende ni rong..nipeeni likes maguys if you agree..💪🏾💪🏾

poru
Автор

Ngojeni muone hii song ita Iv been listening to it from release date till And I know kuna day ita blow.... Waiting for that day so I can laugh at all ur faces for not having appreciated pure talent.... Niachie like if y believe so

dynamicclarrip
Автор

Doch umenibambishia ghatt leo adi siamini. On heavy rotation . bless 🔥🔥🔥

KKanali
Автор

Yo,
Niki buy vodka whiskey ndiyo chaser,
Kuna line fulani Munga nafaa kurudia tena
Nina ndeny'a kwa VP, Rashid Echesa,
*Hii ndio line siwezi kua m cooperative na tellers*
_Relative wa Sule_
Maana fiche kibao ukichambua mistari.
Track ata ikiisha hapa imetesa mbaya...
🇰🇪💯🌍🔥

kelvintymwaura
Автор

I learnt of this song today from TikTok 😩😩😩kumbe si mpya, aargh najichukia kutojua hii banger 😮

shikumuigai
Автор

Wakadinali walishahit but bado tunaendelea kuwadiscover💯⚡

boibrokemucci
Автор

Kama bizmike amekufikisha huku gonga like 😂 he has brought this masterpiece back to life.😊

morriskyalo
Автор

HOW I NEVER HEARD THIS SONG AND AYAM A WAKADINALI STAN IS CRIMINAL 😭😭😭 DOMANI IS GOATED!!!

GOODKiDMANCiTY
Автор

No way this is blowing up now on TikTok 😮 kweli ‘ munga’s revenge album so underrated 😮‍💨🤧kutoka hits like umoroto na geri inengi

ianmwinga
Автор

hii itazoza hadi next next generations 🔥

benjahtosh
Автор

🔥🔥🔥
Coro na virus na siko China _Domani 2020.

sadikijeje
Автор

Domani Mkadinali Ni Genius wa Mziki wajanja wanajua mbona 💯💯🔥🚀🇰🇪

Uzele
Автор

Hii ndio inahit sai kumbe usidharau kitu unafanya ❤

Charlycharles
Автор

Nina ndenga kwa v.p rashid ndio chaser 🔥🔥

sesmomwenyewe
Автор

Nkiseti kidom napenda kuskiza e dobba..diaspora representing..ZOZA

honourablemungah
Автор

NIKI BUY VODKA WHISKEY NDO
#ZOZANATION

harrisonandika
Автор

Mad munga deserves a grammy, piga like kama unataka afanye remix

kirakitv