DIRECTOR KENNY: ZOOM PRODUCTION SIYO YA WCB ''HARMONIZE NA DIAMOND TUNAFANYA BIASHARA''

preview_player
Показать описание
DIRECTOR KENNY: ZOOM PRODUCTION SIYO YA WCB
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nawa pongeza Sana WASAFI TV kwa kazi nzuri

acresmusic
Автор

Mimi binafis bado nina wasi wasi na kuondoka kwa harmonize

ray_mackertz
Автор

Ukiwa na hela hata demu unammiliki mkaliii mmemuona dem wa @directer kenny🎉🎉

allymbegu
Автор

Mbona salamu sk alisema zoom production ni ya mondy na hamo kulikon tena

ramadhaniathumanimlenge
Автор

Harmonize mzushi anatuzuga we ngoja akushiwe makopo ya mkojo jukwaaani

adolphmwangoje
Автор

Mshikaji anang'ata maneno zaidi ya mme wa mtu aliyefumaniwa

dazedconfused
Автор

nawaomba wasafi media siku mji kunihoji niwape sili ya zoom production.halafu uyo director kenny nifundi umeme.

bedatv
Автор

Daah huyo demu yuko fiti sana miss kabisa

officialmrtop
Автор

Huu mchezo wa daimond na hamonize mi naujuwa ndio maana keeny kawazingua tu juu ya swali hilo.

herifredrickson
Автор

Huyu jamaa ananyanganywa huyu demu mda c mrefu najua mabaharia wapo kikao

leonardjohnson
Автор

Hujaelewa swali. Ni mali ya Diamond na Harmonize, itakuwaje ikiwa yeye anasepa? Kujiamini sana nako kunakuwa shida wakati mwingine. Njia pekee ya kujua mengi ni kujifunza kusikiliza kuliko kuongea!

TamuzaKale
Автор

Kenny anafanya videos nzuri ila kuongea vizur tu hajui

madoidotv
Автор

Nawa pongeza Sana WASAFI TV kwa kazi nzuri

acresmusic