filmov
tv
Director Kenny 2021, Kazi na Diamond imekwisha, nafanya na Davido, Zuchu
Показать описание
Director Kenny 2021, Kazi na Diamond imekwisha, nafanya na Davido, Zuchu siku ya leo tarehe 31/disemba 2021, tukimalizia mwaka, kupitia ukurasa wa instagram wa muandaaji na mtayarishaji wa video za muziki director kenny, ameonesha ni kwajinsi gani 2021 imekua yenye baraka kwaupande wake na timu yake ya zoom production kwa kufanikiwa kufanya ndoto na maono ya timu yake kutimia.
director kenny amedhihirisha mafanikio yake kwa kuonesha tuzo alizozipata, makampuni aliyofanya nayo kazi, pamoja na wasanii kutoka nchi mbalimbali aliofanya nao kazi. tuzo ambazo director kenny amezipata ni
• consumer choise awards katika kipengele cha best video director
• african entertainment awards usa akichukua kipengele cha best video director africa
• afrimma 2021 akichukua tena kipengele cha best video director africa
• zim hiphop awards akishinda best video director zimbabwe
• afrima best video, nyimbo ya tetema yakwake rayvanny na diamond- mwaka 2019
• swahili fashion akijipatia tuzo ya male stylish of the year 2020.
makampuni ambayo director kenny amefanya nayo kazini pamoja na
• lebo ya muziki nchini tanzania wasafi
• kampuni la simu techno
• wasafi media
• efm
• itel
• movit na mengine mengi
kwa upande wa wasanii ambao kenny amefanya nao kazi amewataji wengi, kutokea hapa nyumbani tanzania amewataja
• diamond platnum, harmonize, zuchu, nandy, marioo, rayvanny, luludiva, ay, mr blue, ruby na wengine wengine
kutokea nigeria amewataja, wizkid, burnaboy, davido, mr flavour, rema, joeboy, olakira n wengine.
afrika mashariki amewataja, tanasha donna, bahati kenya, brown mauzo, jose chamilion.
congo nikoffie olomide, inno s b, makeda na fally ipupa.
director kenny hakuishia hapo ametoa neno kwa vijana wote wapambanaji wote ameseam hivi,,,,