Platform - Yamenishinda(official music video)

preview_player
Показать описание
#Platform#Yamenishinda

Brand new video Yamenishinda
Director by @adamjumanxl
produced by @aloneym
Available in all digital platforms

contact : +255712662125

Follow Platform on

Copyright ©2020 DREAMCASH WORLDWIDE.all right reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tanzani muheshimu diamond sana...alinifanya nikajua babalevo...baba levo amefanya nkajua huyu msanii...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

mcallande
Автор

Unapambana kaka salute kwako nakutakia mafanikio katika Safari hii ndugu yako riss fleva, chuma anakusalim

rissingtongambo
Автор

Big kama big....natambua uwezo wako plat nakuona mbali sana mwanangu....huuu moto mwingi sana mungu akupganie jesh....hongera kwa kitu kizur

robsonmlaponi
Автор

Unajua sana piga ngoma na marioo brother utatoka fasta

vanbea
Автор

Jamaa mkali zaidi ya ibra noma sana baba levo mpambanie jamaa mkali anajua siku akikutana na lizer basi wameisha itakua bonge la ngoma africa

ringoaskali
Автор

Nakumbuka nili tabiri kuwa hii ngoma itakuwa kali na kwel

nzogoropatson
Автор

uliona wapi Bund Ana lalaaa Usiku.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Gloryaidan
Автор

ngoma kaliii kama izi huwa tunaimba wachacheeee big up sana plat kuwa akuna marefu yasiyo na nchaaa, , so tutafika tyu

dannyclever
Автор

Oyaa mzeee nakubal nyimbo yako umeuwa kizazi sanna kazaa wewe blood Kijana wetu

chusegang
Автор

Dozee Dozee blood mwiko kukata tamaa ✌️

sumaathumani
Автор

Apo spingi kaza buti upo gud sana ngoma Kali Kali tu nazkubali

usangutvonnline
Автор

😄😄😄back again plat wetu huyo huku kenya unakera

behindakalenda
Автор

Ayah sasa yaliyotushinda tujuane platform 😘

jestinaphilemon
Автор

Ooh mapenzi nayaona kwenye kidero good night dreamcash

behindakalenda
Автор

Achia ngoma mzee unajisikilizia sana saut unayo iko bomba

hasanimacheda
Автор

Kali Sana bro yani apa nyota ingengaa tuh kidogo ungeenda usafini au ukondeni

plorynahgepchad
Автор

kweli babalevo alisema huwezi jutia ukiskiliza hii nyimbo

sanityonline
Автор

By Boy @Platform Nakukubali kwa chochote kile mkumbwa langu

taslynekeofficial
Автор

Platform nakubareeee xanaaa kizaziii 📺📺📺📺📺🎤🎤🎤🎤🎤

safiniggahsafiniggah
Автор

Nakubal ngom kali san famss boy up coming artist

famssboymsuka
welcome to shbcf.ru