Platform - Call [ Official Music Video ]

preview_player
Показать описание
Enjoy This Official Music Video from your favourite Super Star Platform "Call' . There are moments where the people whom we truely love , Do not pick up our calls, just because they know how much we love them.

Its time to feel that sad moment while listening to my Song " Call " . Enjoy !!
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ngoma kali sana kama ume ikubali hii ngoma finya like apo 👍

aishamakalio
Автор

Wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wenzangu gonga like hapa twende sawa Kama umeamini @platform huu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥hauzimiki

sheriikasherii
Автор

Hivi huyu braza dah kipaji cha hatari sana hiki

sovinwiba
Автор

Tunaourudia urudia tu like hapa...hasa kipande cha, “Pole Dear Ex...”

aishamakalio
Автор

Nimekuwa wa kwanza like zangu na kwa mtu mzima #platfom _tz 🙌🙌🙏🏽

yassinibrahim
Автор

Hakika wewe ni fundi wa tungo za mashairi mazuri unaekuja kuuteka mziki, mana nina nyimbo zako na akuna mbaya ata moja

othumanikaka
Автор

If u believe Platform never dissapoints, gonga like hapa tukienda🔥🔥🔥💪💪💪

annemaputu
Автор

#platfom wew jini mzee🙌🙌🔥💪💪mbwanga iweee 🙌🙌🎧🇹🇿

yassinibrahim
Автор

Nakuelew mzee Bab Pga kz, chuki, naogopa, yamenixhnda now call

saidinachizo
Автор

Ebwana nikiwa hapa Swiss nakupata vizuri mie shabik Yako namba moja

sisqoify
Автор

Unaweza kabisa Ngoma Kali Sana mungu akubariki uendelee 🔥🔥🔥🙏🏿

laviecgm
Автор

Hiyo itakuwa ngoma Kali Sana platiform

DJfelix
Автор

Tuliyo mjuwa huyu platform for dramcash kupitia Chawa baba levo like hapa

mattanofficemusc
Автор

hii nyimbo nmesaka San nilisikia kipande nkawa simjui alie iimba leo km zali hiv kuipata

mohamedchigotwe
Автор

endeleeni kumsikiliza diamond mi naskiliza mziki unaoeleweka😎

qudratv
Автор

Bonge la ngoma naomba likes za dreamcash

sheriikasherii
Автор

is the topest no doubt...hello kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪

aishamakalio
Автор

Wwe ni mkali anae bisha anyee moto hapa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Gloryaidan
Автор

kylez melody K.E....kazi safi kaka nakukubali

dalmasodego
Автор

Kumbe wa kwetu 🇹🇿🔥❤kaza mwendo wewe mkali

WaridawaridaWarida