JICHO LAKO LA KULIA AU LA KUSHOTO LIKICHEZA INA MAANA HII KIBIBLIA, USIPUUZE - Apostle Johaness John

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mimi ni muislamu ila nimependa safi kiongozi ni kweli kabisa hii

Producer_Kabi
Автор

Amina ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

puritymrasa
Автор

Amina mtumishi nmebarikiwa na majibu yko Mimi nmeqaza kufny biashara Fulani Leo nmemtmni lkin sin pesa ya mtaji WA hiyo biashara ndio naona.jicho.lacheza.lajuu mkono WA kulia

judithkatoto
Автор

Asante mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana

hadijaMuhi
Автор

Mtumishi Mimi limenicheza kwa chini ucku na asubh namuko wa kushoto umeniwasha sana nini Mana yake mtumishi nisaidie kunielekeza

EsterRichard-rbsm
Автор

i think hapa sio jicho tunalojua sis bal Yesu alizungumza kwa mfano so kwenye jicho kucheza na ufafanuzi huo havina usaw

InnocrownBaloz
Автор

Hii ni hali ya kimwili tafadhali;tena maana ya jicho kung'oa na mkono kutupa kibiblia inamaana kuwa kukiwacha jambo baya ulilokua ukilifanya;maana ya ni afadhali jicho kwenda motoni kuliko mwili mzima ni kuwa ni afadhali kujinyima na kwenda mbinguni kuliko kujifaidisha na kwenda motoni

NancyAkoth-gyzq
Автор

Apostle bwana yesu asifiwe mm naomba unisaidie jicho langu la kulia hucheza juu ila ni kwenye nyusi sio kwenye kope naomba unisaidie hapo inamaana gani?

EvaEzekiel-oz
Автор

Nina tatizo ilo la jicho la kushoto kucheza sasa mahana yake ni nini? Kwasababu umeongelea tu jicho la kulia

IvonePascoal-frtj