Coastal Union yapania kulipa kisasi kwa FC Bravos Jumapili

preview_player
Показать описание
“Wchezaji wangu pia walikuwa wagonjwa” maneno ya Kocha wa Coastal Union, David Ouma akitaja baadhi ya vitu vilivyosababisha timu yake kufanya vibaya kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya FC Bravos.

Kocha na wachezaji wamtaja kipa wao Ley Matampi.

Coastal itashuka tena Jumapili katika mchezo wa mkondo wa pili

#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika
Рекомендации по теме