BAADA ya KUICHAPA MTIBWA, NUGAZ Atamba BALAA - 'HII ni YANGA ya KISTAARABU, Tunakufunga KISTAARABU'

preview_player
Показать описание
BAADA ya KUICHAPA MTIBWA, NUGAZ Atamba BALAA - "HII ni YANGA ya KISTAARABU, Tunakufunga KISTAARABU"

MHAMASISHAJI wa Yanga SC, Antonio Nugaz, amezungumzia mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga ambao umeisha kwa Yanga kushinda bao moja bila, goli lililofungwa na Lamine Moro.

Antonio Nugaz ameweka bayana kuwa lengo kubwa kwenye mechi za ugenini ni kuchukua pointi tatu muhimu na hasa ukizingatia timu waliyocheza nayo..

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Moja moja Kama dawa yanga bado Kuna tatizo la ufungaji tuseme ukweli tu

kassidpandu
Автор

Inatakiwa Yanga ijitahidi kwa kweli tunataka pia magoli tunaomva hivyo

zulekhabaksh
Автор

Tunamba iwe hivyo wanacheza vizuuri lakini bado magoli

zulekhabaksh