filmov
tv
Rais Uhuru Kenyatta kujua ikiwa Kesi yake ICC itatupiliwa nje
Показать описание
Kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta itaendelea au itatupwa nje hapo kesho? Ndio jibu linalosubiriwa kutoka kwa kiongozi wa mashtaka wa ICC Fatou Bensouda ambaye ataieleza mahakama kuhusu iwapo serikali ya kenya imeshirikiana naye katika kumkabidhi stakabadhi za benki za Uhuru Kenyatta miongoni mwa stakabadhi nyingine muhimu.Bensouda alieleza mahakama awali kwamba hana ushahidi wa kutosha kuendelea na kesi dhidi ya Uhuru Kenyatta na kwamba stakabadhi alizoagiza ndio zitakazothibitisha madai dhidi ya Uhuru Kenyatta