Jinsi Ya Kusafisha Local Disk C Iliyojaa

preview_player
Показать описание
Jinsi Ya Kusafisha Local Disk C Iliyojaa

1. Disk cleanup.
katika search bar andika disk cleanup kisha click run as administrator.
Hakikisha drives ni local disk C, kisha click ok.
Baada ya hapo ita scan computer kisha itakuleta hapa.
Hakikisha box zote za upande wa kushoto umezi tick. Hapa itafuta vitu vya
104MB na hivyo tuta ongeza free space ya 104MB katika local disk C, click
ok.

2. Wise disk cleaner.
Hakikisha umei download na kuinstall hii application.
Double click na kuifungua. Hapa kuna aina mbili za cleaner, ya kwanza
ni common cleaner na ya pili ni advanced cleaner.
Katika common cleaner tick hizi option zote kisha click scan.
Ikimaliza utaruhusu kufuta uchafu katika disk.
Kisha katika advanced cleaner clikc scan kisha itakuletea option ya
kufuta.

3. Recyle bin.
Double click recycle bin, ctrl + A kuchagua vitu vyote,
right click kisha chagua delete.

4. Old Windows.
right click kisha lifute.

#LocalDiskC #Kujaa #Clean #Safisha #Computer
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana kwa mafunzo mazuri...Mungu akubariki sana

jifunzekatekesikatekisimu