Maarifa - Aibu { Not Like Us } Lyrics

preview_player
Показать описание
#Maarifa #NotLikeUs #Aibu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyimbo nzur imetulia ila wengi wanapend za makelel hii ndo nyimb yangu pendwa sasa❤❤❤MUNGU afungue milang ya baraka na mafanikio

RoseeNyoni-hb
Автор

Watu tukisema dogo hajui hamwelewi ona sasa vjana wenye DNA ya rap wanavofanya kweli...shout out kwa maarifa kaondoa aibu kwa raifa 💯

japhsam_simulator
Автор

Huyu jamaa apewe SoMo la hesabu akafundishe la mziki kafaulu aiseee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

amosizeOg
Автор

Ngoma Kali sana home boy sema umetupunja verse

murtazaseleman
Автор

Mwamba na kukubali Sana unyamwezi mwingi mistari kama yote huyu mbuzi kazinguwa ❤❤❤❤ love from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🖊️🖊️🖊️🖊️🖋️🖋️🖋️🖋️🖋️

DekelvaSoujaboy-mbps
Автор

hii sasa ndo diss track sasaa🔥🔥, sio wale wengine walichofanya ni kutukana tukana tuu jambo ambalo kila mtu anaweza.

CHEKAtvSIMBAvsYANGA
Автор

Punch line, miondoko na speed still lunya haguswi aisee cjui n skio langu tu au ushabiki Ila Mbizi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌

samsonshayo
Автор

Maarifa kapita na mdudu uliomshinda ooooy my😂😂😂😂😂

emmanuelnkwabi
Автор

Saf sana kaka nilikusubir sana kikao kikiisha mrudie ukampige mbuzi kagoma kwenda😂

jacksonseverin
Автор

Kuna watu wanajua afu wala hawana majigambo
Mtoto wa baba🔥

OmaryChande-niri
Автор

Daah kwel kuna utofaut wa kitambi na mimba

YoxNation
Автор

Vanillah umu kapita kama Becka flavour, mara aslay fulan iv karud tena kwenye code zake ambazo zinafanana na baraka umetisha Mzazi🔥🔥🔥

pademwanaharakati
Автор

Cannabino umeua lakini ukiekwa kwa target ni Dizasta uko sehemu mbaya.. 🎉🎉🎉

Kalifikra
Автор

Wooow wew unatakiwa uimbe ivi big up brada ❤️❤️

The_boe_king
Автор

King afraa number one of Congo drc rap swahili Big up bro🔥🔥🔥

elishamufungizi
Автор

Yaani hii ndo shida kubwa ya sisi wabongo na ndio inatuponza sana, unakuta mtu yupo serious anasoma comment yangu badala
aandike yake😢😔🥹

ChochoteTv
Автор

this is a true defination of a rapper RESPECT

godsonmasawe
Автор

From 254, , ukweli usemwe lunya amewazidi nyinyi wote, , ,

flavourboyke
Автор

haya ndo mauaji tunayoyahitaji bongo bila killer na maarifa no young rapper game my man

taaborafm
Автор

Unyama ni mingii wapi likes zanguu mi ndo wakwanzaa

emany