TAZAMA SHILOLE alivyofika NYUMBANI kwa kina DIDAH kutoa POLE

preview_player
Показать описание
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hivi kwanini wasanii huwa wanavaa mawigi wakiwa wanakwenda msibani. Yaani! Hata hawapendezi. Utakuta wengine mikope kama fagio, na miwanja hovyo! Ingekua mmefiwa ninyi katika family zenu mngeweza kufanya yote hayo. Mnajionyesha nini. Mnatakiwa mrudi kwa mungu wenu. Kifo ni mawaidha. Mjifunze.

rahmasalim