Shilole alivyowapeleka Wasanii nyumbani kwao Igunga

preview_player
Показать описание
Shilole alivyowapeleka wasanii wenzake nyumbani kwao Igunga
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dah! Nimempenda sana Shishi Baby kwa kuwa real na kuwapeleka wenzake mpaka home manake wasanii wetu wengi wanapenda maisha fake tofauti na alichoonyesha Shishi baby.
Much respect kwake

barakamwamwaja
Автор

yaani ktk wasanii wasojali kbs ni shishi na wala hajali kbs mkataa kwao mtumwa mtu kwao mama

mwanahella
Автор

sijui nieleze vip jinsi ninavyo kupenda shilole wanadada wengi wanaficha masingila ya kwa lakini wee auko ivyo hongera my mswahi lakini una roho ya kizungu mungu akusimamie kwa kila ukifanyacho

aishaalhvvd
Автор

She did a wonderful thing, yani hadi natamani kulia she bring a bongo flever home she made a history kwawana Igunga, Its so amaizing respect kwako SHILOLE

stanleymaganga
Автор

Nimeipenda kwa dada zetu nivigumu sana kufanya hv wanajidai wapo juu mjini tu

denniskiango
Автор

nakupenda shilole .... Mungu akupe hatua zaidi ya mafanikio... respect

lightnessmori
Автор

Kwenyu ni kwenyu hata kama kibandani huezi sikilia aibu hata wazazi wawe aje huezi waficha.Hongera sana shishi mabadiliko ni mwanadamu hufanya mutumainie mungu utabadili nyumbani😍😍😍

sheilanafula
Автор

vizuri sana sister shishi, nyumbani ni nyumbani, big up.hachana na hao masharo na masista duu ambayo wanavunga, we kamanda.

hamisally
Автор

nyumbani ni nyumbani hatakama kichakani Mkataa kwao mtumwaaa nakukubali shishi babby

salmazena
Автор

Shilole mi nime kupenda saana huvungi mama kwenu ni kweni ni meipenda sana hiyo

divaifrank
Автор

MashaAllah Shishi Bby Mungu akuzidishie tena na tena Amani na barka kwenye maisha yako maana wengi wasani sivirahisi kufanya kitu kama hicho mamy Wallah Allah akuzidishie huna majivuno😍😍😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏

sifacycy_bby
Автор

respect to shishi coz ame show real life ya watanzania n were they came frm. wasanii igeni mfano mzuri toka kwa shilole ka show upendo kuwachukua na kuwapeleka kwa aliko tokea respect kwa hilo. wangekua wengne cjui ingekuaje.. appreciate u shishi

hancymarin
Автор

Katika vitu ambavyo nimeshangaa ni upendo wa ajabu sana alioufanya shilole na kudhihirisha nyumbani ni nyumbani hata kama pako vipi wengi sana hawawezagi hili jambo big up my ccter

lucaslucaswalogwa
Автор

Huyu ndye msanii mkali mwenye utu wa udugu msahau kwao na mkataa kwao ni mtumwa, nadhan ni msanii wa kwanza kufanya hivi safi sana shishi bby kigoli

ijmanzitv
Автор

this is so nice jaman Good job shishi nimemuona Amina tulisoma darasa moja wow nimelia

coolmom
Автор

Hongera Shishi kwa kuwa na courage lakini nakushauri ufikiri mara mbili huko nyumbani ukipeleka milioni 10 tu unabadilsha kila kitu maisha yanakuwa bora sana Duh... kweli maisha si kama tunavyo yaona jitahidi dada ake hiyo hali ya nyumbani inatisha.

thabitmolly
Автор

shishi home is sweet, usisahau ulipo toka ila usiishi maisha uliyotoka,

michaelgoldie
Автор

kumbukeni shilole hana wazazi kwa dada yake ndio laifu yake bravo shishi baby

tatuhamiz
Автор

2019 shishi aiseeee safi dear hongera sanaaa ndio maana unasonga mbele na hivi ndio maisha yanavyotaka

hassanaloobaidan
Автор

Safi sn shishi ayo ndio maisha watu waige ukiwa star sio ndio ujiwekee juuusn big up kwako

funsupadatestourists