Hivi hapa Vifaa vitano(5) Muhimu ili Ufungue Studio yako! - UNBOXING

preview_player
Показать описание
Katika Video hii utajionea vifaa vitano(5) muhimu vitakavyofanya uanze production ya mziki bila wasiwasi.

Utapata vifaa vifuatavyo:
1. Q-24 professional Audio interface
yenye njia mbili za mic, inapokea monitor speakers na MIDI Keyboard

2. U87 Large diaphragm condenser microphone
Hii ni studio microphone yenye quality kubwa sana.

3. Senicc ST-80 Studio Headphones
Hii ni monitor headphone kwa ajili ya mixing

4. Mic Stand
Mic stand ya miguu mitatu inayosimaa chini na urefu wake ni adjustable

5. Pop filter
Kwa ajili ya ku-filter sauti

Pia ndani ya box utakuta Shock mount na XLR cable moja

Bei ya offer Kwa vifaa vyote hivi ni TZS. 699,000/= Tuu!!

Bei ya kifaa kimojakimoja:
Sound Card - 350,000/=
Microphone - 250,000/=
Headphone - 120,000/=
Mic stand - 60,000/=
Pop filter - 30,000/=

Kumbuka:
Vifaa hivi ni vipya kabisaa, na ni maalumu Kwa matumizi ya Studio kurekodia vocals zenye ubora wa hali ya juu!

*12 months warranty!

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE 0763312251
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nilikuwa na wazo hilo la kuanza studio lkn sikujua ninin nahitaji asante sana kwa maelezo yako

Rayizohclassic
Автор

Umetoa elim nzuri sana ila swali langu katika vifaa hivyo vitano je hakuna vyenye gharama ndogo maana nimeona mchanganuo wa gharama inafika si chini ya laki nane, je kama mtu ana laki nne hadi tano hawezi kupata hivyo vifaa, , , ? Ndo swali langu, 🙏🙏

christopherernest
Автор

VP bro vinagharimu sh ngapi vyote. Ikiwa sound card microphone stand headphone n sh ngapi

asibestonanga
Автор

Producer uwe unataja na bei moja kwa moja I'll watu tupate faraja kipindi tunajipanga maana tunandoto ya kufungua studio

AmaniRazalo
Автор

mkuu.... nikihitaji kwa ajili ya podcast production. nahitaji hivi au inakuwaje boss?

danielsanga
Автор

Ni offer ya how much sasa hvyo vyote??

fullloughtv
Автор

Card saud ni beyi gani na je inaweza nifikiya kongo je?

esbycukas
Автор

Kaka me ntakutafuta ngoja nkutaftie hela kwanza

ProShackys
Автор

Unaweza nijuza ni bei gani kwa ujumla wake

officialmanjoo
Автор

Naitaji kujua galama ya ivyo vitu vyote..maana naitaji kufungua studio

HalimaRamadhani-qk
Автор

Sasa wewe hata namba hutoi mambo gani hayo

JamesJoseph-kd