RAMANI YA VYUMBA VITATU NA FULL BAJETI MPAKA KUPAUWA Tsh.(10,761,000) #ujenzi

preview_player
Показать описание
#ujenzi #ujenzinafuu #ramanizanyumba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Upo vizuri Mr House decorations. Maoni yangu ya ziada nafikiri ingekuwa vizuri zaidi uwe unatuambia na makadirio ya ukubwa wa kiwanja Kila ramani unayoitolea maelezo vilevile ungeziwekea namba hizo ramani ili mtu akiipenda akuambie nahitaji uniuzie ramani namba fulani

AkillyMussa
Автор

Asante sana kaka yangu umenigusa sana, barikiwa sana

twiseghekisilu
Автор

Asante sana kaka yangu mungu akutie nguvu aku inue zaidi na zaidi 😢❤👌😊

Harima
Автор

Daa Yesu akutiye nguvu umenifanya moyo wangu umefurahi

MagrethMushi-prmh
Автор

Nimekuelewa sana fundi Mungu alibariki kazi ya mikono yako

NickoMapikipik
Автор

Hapo kwenye tofali 1450, HAPANAAA umetupiga aiseee, 😊

osiahdickson
Автор

Asante kwa darasa, Mungu abariki kazi ya mikono yako

betsyjimmy
Автор

Bongo ujenzi rahis mm ntakutafuta InshaAllah

KhadijaAbdallah-knii
Автор

Ya allah turaisishiye nasis tufanikishe kujenga😢😢😢😢

ashaashaa
Автор

Ndugu yangu umenitia Moyo na Mungu akipenda nitakutafuta.

RachelNgailo-vnbj
Автор

Umeongea ukweli mtupu fundi tuombeane mungu azidi kutubariki fundiiii Huna baya

nembu
Автор

Nazikubali Sana kazi zako onger San broo

sakinayasini
Автор

Nimeielewa bro iyo nyumba nitakutafuta baada ya miaka minne nazichanga niko oman

OmanOman-vg
Автор

Boss siku moja ongela kuhusu finishing

chrissjapheth
Автор

Unapotosha watu ndugu huo hapo sio chini ya tofali 3500 hadi 4000 inategemea uwanja

chosenfrank
Автор

Kaka..uko..vizuri ..naomba..namba .zako...nikutafute

خديجهخديجه-طه
Автор

Tatizo Lenu Hamjibu Meseg Mukipigiawa Sim Hampokei Hilo Ndio Tatizo Lenu Mimi Nishawapigia Sana Hampokei

muhammadmuhammad
Автор

Kimsingi gharama ulotaja inaweza ikawa ni kwaajili ya kunyanyua msingi tu. Inategemea ukubwa wa nyumba, Geographical location ya kiwanja na quality unayoitaka.

west_ye
Автор

TOFALI ELF 1450 SI NI MSINGI TU HIZO HAPO SI CHINI YA TOFALI 3500 USIPOTOSHE WATU NDUGU

SimonMathew-cdit
Автор

Mimi pia najipanga maana nipo oman huku kwaiyo kuna hela zangu za mchezo nikipokea tu nakutafuta kaka

MonikaMbuya