JE MAZIWA YANAMTOSHA? JE ANASHIBA? MTOTO MCHANGA ANAYETEGEMEA MAZIWA YA MAMA UTAJUAJE KAMA AMESHIBA?

preview_player
Показать описание
JE MAZIWA YANAMTOSHA? JE ANASHIBA? MTOTO MCHANGA ANAYETEGEMEA MAZIWA YA MAMA UTAJUAJE KAMA AMESHIBA?
Angalia umjifunze mtoto wako akiwa ameshiba na akiwa na njaa, tabia ya mtoto unaijua mzazi unatakiwa ujue namna ya kumhudumie ili asikae njaa

Kwa wanaohitaji kuwa kwenye group la whassap karibuni tujifunze pamoja link
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante dct mana wakwangu alikuwa anakatt kunyonyony ila nimeelew

MeryMlowe
Автор

Mimi mwangu hapaia choo vizuri na anashiba tu ila kukojoa anakojoa malakwamala inaweza ikawa shida nini

SIWEMAMOHAMED