PNC - Nyota [Official Video Music]

preview_player
Показать описание
Nyota ni wimbo ambao unazungumzia mahusiano ambayo yamejaa tamaa na usaliti kisa hali duni hali inayopelekea wengine kujiona hawana bahati katika mahusiano.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Style yako bro Ni tofautiii Sana haraf still market able kaza sahiz bado tunamic Hilo saut

gerymusic_official
Автор

Nakukubali sana bro toka kenya... Bado nangoja video ya kelele na project mpya ya kwako

lawidaleche
Автор

katika vipaji naviombea kwa mungu siku moja awafanyie miujiza waweze pata malipo ya mihangaiko yao ni huyu jamaa PNC zamu yko itafka braza hakuna kukata tamaa

jumaaramadhani
Автор

uyu jamaa anajuwa sanaa ilah wanambania

shadynely
Автор

Don't give up brother PNC.. one-day yes. Inshallah

yusufally
Автор

Nakukubali ndg PNC kazana Sasa ivi Kuna Ushindani kaza bro, nyimbo

stevenwawafishboy
Автор

kazaa jomba uko vizuli kazi nzurii mungu akuongozee katika safari yako

nuldinabdallah
Автор

Pnc bro mm nahitaji kusapot kazi bro kikubwa zaid hata mm nina mwanya kama wewe 0787827449 pia kuna kazi mumefanaya na mwandu star wewe umeimba kolas sasa yumwandu mwanagu sana naomba nichek broo

kavwanizer