AWESU AWESU BEST SKILLS/PASSES VS TABORA UNITED | KIUNGO FUNDI WA MPIRA

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Awesu ana utulivuu mkubwa saana very confident...I wish one day coach fadlu amchezeshe Deborah number 10

Frankkambona-jsvf
Автор

Kazi nzuri, mchezaji husika ANAFAA kuwekewa label au mark ambayo inamuonesha kwa movements zote uwanjani.

aje-farmsmashambayanayotem
Автор

Muwafikishi ujumbe wachezaji wawili ambao hawa jakaa kwenye mfumo wasiwe na presha maana jambo nzuri harihitaji haraka maana tuna jua uwezo wao JAAN AHOUA NA DESE MKWALA WASIWE NA PRESHA ❤❤❤❤❤

JolotaErastoJuma
Автор

❤❤❤❤ SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA

salimmalaka
Автор

ndugo tuwekeee mechi nzima tuione tim yetu sisi tuko nje ya nchi

james-lxrf
Автор

Yan hii timu mtu unaona kabisa ikipata mech kadhaa inakua htr san

SaidMiula
Автор

Kama Awesu atakua na Cosistency bas ataifikisha tim mbali ...

dreezyboe
Автор

Itachukuwa wakati kidogo hata Gomondo wa Yanga alisema anahitaji miezi sita nae siku za mwanzo timu ilikuwa ikisuwasuwa lakini lakini huyu wetu kwa siku ya mwanzo alionyesha kitu seuze ifikapo miezi sita moto hakuna wa kuuzima

ibrahimalharthi
Автор

Ni jambo la mda tu wachezaji wako vizur

FatmaHamis-or
Автор

Huyu kocha apanga timu vizur la si hivyo safari anayo, namba 8 mavambo, 10 awesu, 7 okjepha . Mbona rahisi tu timu inajipanga wenyewe.

yassirkhamiss
Автор

Hiii Timu ndo Wanasema Inachea Vibaya? Au Macho Yangu yananiongopea Au Mimi Cjui kuangalia Mpira

iddykivu