Watu tisa wanusurika kifo baada ya mtumbwi kuzama katikati mwa ziwa Victoria

preview_player
Показать описание
Watu tisa walinusurika kifo kwa tundu la sindano baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katikati mwa ziwa victoria. Watu hao walikuwa wanashiriki tamasha za jadi zinazohusisha mbio za mitumbwi, mieleka na kuvuta kamba kwenye ufuo maarufu wa bumbe, eneo-bunge la Funyula kaunti ya Busia.

Connect with KBC Online;

#KBCchannel1 #lakevictoria #boats
Рекомендации по теме